Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Ulicho andika ni cha kweli ila wenye akili ndogo ni vigumu kuelewa ...waulize wapinzani ni kwanini JPM alikuwa anatamka sana haya maneno ....(ngojeni kwanza ni nyoshe nchi) kuna elimu kubwa sana na akili kubwa sana kwenye haya maneno kwa watu tulio jaliwa akili timamu ...muulizeni mbowe au tundu lissu au zitto hayo maneno yalikuwa na maana gani? Ndiyo utajua kuwa tanzania tunaongozwa na wapumbavu wengi sana..kamwe mbowe lisu na zito awawezi kuelewa hekima ya hayo maneno .....pia JPM alikuwa ni Rais mkweli tofauti na huyu muhuni ambaye wapinzani walimtukuza kwa kumwamini ...yaana unashindwa kumwamini Rais mkweli unakuja kumwamini Rais muhuni...vyama vya upinzani tanzania vimechanganyikiwa kabisa ni upumbavu ulio tukuka....kwa sasa wapinzani walituaminisha kuwa mtu wa kushirikiana naye ni Samia lakini kinacho wakuta wanajuta na wataendelea kujuta zaidi ...kipindi cha JPM ilikuwa ukishirikiana naye yupo piss sana anakuingiza kujenga nchi na kupambania taifa kikweli kweli .....WAPINZANI TANZANIA KUTOKANA NA AKILI ZAO MBOVU WAKA UNDERESTIMATE THE STUPIDITY OF THE STUPID PEOPLE .....SAMIA NI DEATH TRAP...SIYO DEATH KWA UPINZANI TU BALI NA KWA TAIFA PIA...niliwaambia wapinzani ilikuwa rahisi kupata katiba mpya na nzuri na ya haki chini ya mzalendo JPM kuliko huyu muhuni tuliye naye sasa walinipingakwenye huo ukweli vibaya sana na sababu za kunipinga ni ....(walishindwa kufumbua fumbo la magufuli la ngojeni kwanza ninyoshe nchi)Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .