Ingawa alikuwa mbabe sana, ila alikuwa na uthubutu wa aina yake. Pengine sababu ya ubinadamu wetu, hatukutaka kuangalia upande wa pili uliokuwa na fursa tele. Tukaangalia upande rahisi kuangalia, mapungufu yake.
Bado hatujamlilia vizuri JPM. Kadri siku zinavyokwenda, anarudi kama mwangwi kwenye baadhi ya masikio yetu.
sababu kama hizo, nakumbuka daima, maisha ni fumbo kubwa sana. Maisha yana mitihani mno na ukikosea kidogo inakula kwako. Ukikosa uvumilivu kidogo inakula kwako. Ukitaka kupata njia ya mkato, wahuni na matapeli wanapitia hapo hapo.
From The Ethics of Our Fathers, I quote...The eulogy which was said during the last day of mourning for Lt. Col Yoni Netanyahu's death, by a friend.....
“Know where you came from: a putrid drop. Know where you are going: to a place of dust, maggots, and worms. And know before whom you are destined to give your final account, the King of Kings.”
Rest Well, JPM!