Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Kama waliua polisi si wangewapeleka mahakamani?. Unaandika ujinga na uzee wako.
Wewe ni lijinga sana bichwa limejaa mavi na siyo ubongo. Ulivyo poyoyo unalambwa mtungo na mbowe fala mkubwa hayawani kenge mkubwa. Watu wanakufa na wauji hakuna anayejua wewe unaleta uhanisi wa kijinga tumbili mkubwa
 
Stupid idiot. Kwa hivyo wapinzani Wana Kinga ya kutokushtakiwa? Wanaweza kuua mtu na wasikamatwe. Alikiona Cha moto , kashindwa kumuua Lissu kafa yeye Tena mafichoni. Very stupid.
Lijinga wewe nyie nyote lazima muuawe kwa dhambi zenu, muulize mbobezi yupo wapi li mzoga lake lilinuuka. Na bado mtakufa sana na watanzania watafanya sherehe kenge mkubwa
 
Kuna watu tunatamani hata uko aliko afe tena
Na nyie mbona mlishaanza kufa kenge mkubwa na bado vifo vitawaandama kenge nyie. Na kila mkifa wajinga nyie tunawapa pole. Na bado yaani hapa game ndiyo limeanza nyie mnadhani mlivyomuua Dkt Magufuli limeishia hapo? Hahaha karma is real kenge wewe, lazima muuawe na hizo dhambi zenu na mnajijua wote wajinga nyie
 
Huyo kapigwa na Corona kwa sababu ya ujuaji wake pamoja na maombi ya Watanzania wengi
 
Kama upinzani ni jina asingehangaika kuharibu uchaguzi wa 2019 na 2020. Ndio maana alifyekelewa mbali asije kuigaribu Tanzania. Mtu mwenye roho mbaya kuliko wote.
Ungekuwa wewe uruhusu hao wapinzani waingie bungeni ambao hawaeleweki hasa wanataka nini ?
 
Asikwambie mtu yule mwamba alikuwa na malengo na hili taifa watanzania walikuwa wanamkubali ile mbaya sema tu sijui kama atakuja mtu mwingine kujitoa ufahamu kwa ajili ya watz kama yule Ndugu rip Pombe
 
Hivi kwanini kuna Upinzani in the first place ?, Nilidhani ni kutokana na kuwa na fikra tofauti, sababu kama fikra ni sawa kwanini tusiwe na Chama kimoja na kuacha haya maigizo yanayotumia gharama ya kodi zetu ?

Mbili kama taifa tuna dira ya kufuata na wapi tunataka kwenda iweje tuhitaji mtu fulani ndio aweze kutufikisha au mwingine asitufikishe ? Sababu kama tunaongozwa na matakwa ya mtu na sio Dira basi nadhani tatizo lipo hapo...
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .

Ingawa alikuwa mbabe sana, ila alikuwa na uthubutu wa aina yake. Pengine sababu ya ubinadamu wetu, hatukutaka kuangalia upande wa pili uliokuwa na fursa tele. Tukaangalia upande rahisi kuangalia, mapungufu yake.

Bado hatujamlilia vizuri JPM. Kadri siku zinavyokwenda, anarudi kama mwangwi kwenye baadhi ya masikio yetu.

sababu kama hizo, nakumbuka daima, maisha ni fumbo kubwa sana. Maisha yana mitihani mno na ukikosea kidogo inakula kwako. Ukikosa uvumilivu kidogo inakula kwako. Ukitaka kupata njia ya mkato, wahuni na matapeli wanapitia hapo hapo.

From The Ethics of Our Fathers, I quote...The eulogy which was said during the last day of mourning for Lt. Col Yoni Netanyahu's death, by a friend.....

“Know where you came from: a putrid drop. Know where you are going: to a place of dust, maggots, and worms. And know before whom you are destined to give your final account, the King of Kings.”

Rest Well, JPM!
 
Uko sahihi
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Magufuli yupi yule aliesema ingekua amri yake angefutilia mbali vyama vya upinzani? Au unamsema Magufuli alietuachia bunge kibogoyo ambalo wabunge wanabenuka sarakasi kwenye meza za bunge pale dodoma?
 
Mxiuuuuu!
Wazungumze lugha moja na mshamba, muuaji, dikteta na mpumbavu huyu??

Aliyempifa risasi Lisu si ndiyo huyu?
Aliyewafanya akina lema kukimbia nchi si ndiyo huyu?
Magu alikuwa mbaya sana yaani pia alikufa akiwa ameagiza Mzee Kibao auwawe, kina Soka wapotezwe, kina Sativa waponee tundu la sindano kufa na wengine wengi ambao mpaka leo haijulikani waliko tangu wachukuliwe na polisi akiwemo aliyechoma picha yake yenye sura ya Samia.

Yaani Magu aliacha ameagiza watu wa upinzani wauwawe wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom