Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Praise team wa kusifu na kuabudu mmevamia uzi kifupi Chadema haishiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, mnaumia nini si mtapata ushindi zidi ya wenza CUF na TLP.Tanzania kuna vyama vingi vya siasa
CUF na TLP wanashiriki
Wengine wameogopa kushindwa
ACT Wazalendo wakijitoa si ndio mtapita bila kupingwa nchi mtakuwa mmeifikisha uchumi wa kati.Ninyi madikteta wakubwa, mnalazimisha maamuzi yenu ya uoga yaigwe na vyama vingine utafikiri mnawagawia ruzuku!
Kila mtu apambane na hali yake
Kama mfu mnaumia nini nao wakijitoa? Mshindani mfu akijitoa unapungukiwa nini?Kwanza hiyo ACT ndio mfu kabisa bora hata dovutwa
Sasa mnaumia nini Chadema kujitoa kama mnakula. Haya kuleni na mapandikizi yenu ya kitengo mliyoyaweka upinzani.CHEKESHO !!!
SUSENI SIYE TWALA , yaani mnamalengo ya kujenga nyumba alafu mnakataa kujenga msingi !!!
ndo hapo wao wanapenda kuamrisha wenzao kenge hawaNinyi madikteta wakubwa, mnalazimisha maamuzi yenu ya uoga yaigwe na vyama vingine utafikiri mnawagawia ruzuku!
Kila mtu apambane na hali yake
Yaani asiposusa tu tuna connect dots zake za taarifa zake za nyuma za usaliti na kusemwa ni mtu wa kitengo.Kwa Zito kususa sijui, labda kwa nguvu za maalim.
Kijani kibichi wameumia sana na Chadema kujitoa, hata huku mtaani menyeviti ya ccm yamenyong'nyea kweli.Kumbe chadema bado kina nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa premature green imbecile, umelipwa madeni yako ya buku saba?Unampangia?,bwege kweli wewe
usilie sasaSasa mnaumia nini Chadema kujitoa kama mnakula. Haya kuleni na mapandikizi yenu ya kitengo mliyoyaweka upinzani.