Wapinzani watakaoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania

huwezi kushindana na mtu asiyekubali kushindwa
 
Chief Kabikula

Lakini yale mapesa aliyopewa Mbowe na kina Mkono, Rostam ... hamyazungumzii kabisa! Mngekuwa si wajinga mngehoji na hayo.
 
Praise team wa kusifu na kuabudu mmevamia uzi kifupi Chadema haishiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, mnaumia nini si mtapata ushindi zidi ya wenza CUF na TLP.
Kwenye post yako umetujumuisha watanzania wote hadi ambao hatupo huko ujingani chadema
 
We jinga sana, watanzania gani hao?? Jisemeeni nyie wajinga chadema
 
Huyo Zitto asibembelezwe kujitoa, akiona mchakato sio sawa anaweza kuamua atakacho aendelee kushiriki au ajitoe. Lakini watu wanaopigia kura upinzani wanajitambua hivyo hatuwezi kushiriki ushenzi wa aina yoyote.
Nimeona huko kwny mkutano wa ACT wanasema eti watashauriana na Chadema na vyama vingine ili wawe na msimamo mmoja?

Nikajiuliza kwani msimamo wa Chadema si unajulikana kwamba hawatashiriki uchaguzi huo,sasa ACT ambacho hajui ni nini?

Kama anataka kususia anakaribishwa lkn Zitto kama anataka pia kusaliti aendelee na mpango wake.
 
usilie sasa
Nyie ndio mnalia baada ya kuona Chadema imejitoa, kwanini msifurahie mnapita bila kupingwa, mtapata ushindi wa kishindo, watu waliposusia tu kujiandikisha mlianza kulialia na kuongeza siku, sasa kwenye uchaguzi huu sijui mtawaambiaje mabeberu ujanja mwingi mbele giza, mabeberu, mabeberu, huku msaada wao mnautaka, imekula kwenu.
 
Huyo Zitto asibembelezwe kujitoa, akiona mchakato sio sawa anaweza kuamua atakacho aendelee kushiriki au ajitoe. Lakini watu wanaopigia kura upinzani wanajitambua hivyo hatuwezi kushiriki ushenzi wa aina yoyote.
Safari hii Zitto atajulikana tu rangi yake, kushiriki au kutokushiriki kwake kutamfanya msaliti au mzalendo.
 
Nimeona huko kwny mkutano wa ACT wanasema eti watashauriana na Chadema na vyama vingine ili wawe na msimamo mmoja?

Nikajiuliza kwani msimamo wa Chadema si unajulikana kwamba hawatashiriki uchaguzi huo,sasa ACT ambacho hajui ni nini?

Kama anataka kususia anakaribishwa lkn Zitto kama anataka pia kusaliti aendelee na mpango wake.
Uzalendo au usaliti wa Zitto safari hii utajulikana tu.
 
Kwenye post yako umetujumuisha watanzania wote hadi ambao hatupo huko ujingani chadema
Sisi hatuko kwenye chama cha kijani cha waabudu mwenge mungu wenu Nyamrunda, sisi tunamuabudu Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
 
Ninyi madikteta wakubwa, mnalazimisha maamuzi yenu ya uoga yaigwe na vyama vingine utafikiri mnawagawia ruzuku!

Kila mtu apambane na hali yake
Kha!! Kumbe kinachotafutwa hapa sio ridhaa ya kuongoza bali kujipatiaga karuzuku!! Nimefunguka macho. Sasa waliosusa wataipataje hiyo ruzuku au wao hawana njaa??
Basi waliowafanya wakasusa nadhani ndio wenye njaa zaidi na hiyo ruzuku kwamba tutaifaidi ikisuswa
 
Kwahiyo Zitto na wenziye TLP, CUF na wengineo watashiriki kwa sababu ya kutafuta ruzuku, wachumia tumbo a.k.a wajasilia siasa.
 
Huuoni huo mwanya uliotokea hapo?? Kama CDM wamezira, sasa tukichuana na CCM huoni lazima tupate viongozi?? Popote penye upinzani lazima patokee upenyo hata ka ni mwenyekiti wa kijiji kimoja tu naye ataitwa mwenyekiti.
 
Baada ya juzi kuandika uzi wenye kichwa cha habari hapo juu, naona Chadema kwa mara ya kwanza wamefanya uamuzi sahihi sana wa kutoshiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, pongezi sana kwao sasa ni zamu ya vyama vingine kutoubaliki uchaguzi huu haramu, Zitto Kabwe na Act Wazalendo yake mpira uko mkononi mwako kututhibitishia watanzania kuwa wewe ni mtu wa kitengo mjasilia siasa kama ulivyotuhumiwa na Chadema wakati unafukuzwa au ni mpinzani wa kweli. Watanzania sio wajinga wanakuangalia tu waone nini utafanya, bora afanye Lipumba lakini sio wewe.
Mkuu jua kuna watanzania na wanaccm,kwa mwanaccm hasa hasa wanaccm masikini kama mimi,wao chama kwanza then nchi,watoto wao na maisha yao baadae
 
Baada ya juzi kuandika uzi wenye kichwa cha habari hapo juu, naona Chadema kwa mara ya kwanza wamefanya uamuzi sahihi sana wa kutoshiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, pongezi sana kwao sasa ni zamu ya vyama vingine kutoubaliki uchaguzi huu haramu, Zitto Kabwe na Act Wazalendo yake mpira uko mkononi mwako kututhibitishia watanzania kuwa wewe ni mtu wa kitengo mjasilia siasa kama ulivyotuhumiwa na Chadema wakati unafukuzwa au ni mpinzani wa kweli. Watanzania sio wajinga wanakuangalia tu waone nini utafanya, bora afanye Lipumba lakini sio wewe.
Sasa nyinyi si mnajiita chama cha demokrasia?

Mbona mnazuia wengine wasitumie demokrasia yao?

Kina zitto wana hela za kuendeshea kampeni na nyinyi chadema,Mbowe hataki kutumia mafungu yote kwa sababu hana uhakika na uenyekiti kwenue uchaguzi wa ndani hapo desemba.
 
Back
Top Bottom