Wapinzani watakaoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania

Wapinzani watakaoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania

Huuoni huo mwanya uliotokea hapo?? Kama CDM wamezira, sasa tukichuana na CCM huoni lazima tupate viongozi?? Popote penye upinzani lazima patokee upenyo hata ka ni mwenyekiti wa kijiji kimoja tu naye ataitwa mwenyekiti.
Haya rudia maneno yako uliyoyaandika hapa uone uhalisia wake Zitto na Act yake wamashajitoa sijui unasemaje sasa.
 
Mkuu jua kuna watanzania na wanaccm,kwa mwanaccm hasa hasa wanaccm masikini kama mimi,wao chama kwanza then nchi,watoto wao na maisha yao baadae
Safari hii watatia akili mapimbi hawa.
 
Sasa nyinyi si mnajiita chama cha demokrasia?

Mbona mnazuia wengine wasitumie demokrasia yao?

Kina zitto wana hela za kuendeshea kampeni na nyinyi chadema,Mbowe hataki kutumia mafungu yote kwa sababu hana uhakika na uenyekiti kwenue uchaguzi wa ndani hapo desemba.
Haya sasa Zitto kajitoa vipi hana hela za kushiriki uchaguzi huu kama Chadema? Tumia akili usitumie masaburi kufikiri, sasa unaona tulichosema ni masaa tu na yametimia.
 
Msingi wa nyumba haujengwi matopeni wala kwenye volcano hai...
Tumieni akili tambuzi...
kuna mtu hata chizi uliye wahi kumuona anaenda kulala kwenye volcano
Tatizo hata vitu vidogo mnataka kujifikirisha Sana ili muwe Wa tofauti , hakuna asiye na uelewa mkubwa hapa ila utumie kwa faida siyo ili Fulani akuone
 
Kwa hiyo ukiwa mnayajua hayo "mnajitoa akili au mnajitia uhayawani?"
 
Back
Top Bottom