Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe wanawake wanasemaje.Sasa A. Proposers wanasema mwanamke afanye Kazi.
1. Na hoja yao ya msingi ni 50/50 kimajukumu.
2. Hoja ya nyongeza ni wanawake wafanye kazi ili kujikeep busy.
👉 kundi hili wanasema mwanamke anae kaa nyumbani ni rahisi kufanya ufuska lakini pia ni mzigo (wahenga wakisema an idle mind is the workshop of devil)
Wanajenga hoja nyingine je mwanaume akitangulia mbele za hali je? 🤔mke atawahandle watoto vipi kama hakuwa na kazi
👉Na je hawa wanawake wenye degrees na diploma walienda Chuo kwa minajiri gani?
B. Kundi hili ni opposers wao wanasema mwanamke hatakiwi kufanya zaidi ya kulea nyumbani na kufanya domestic activities
👉Kundi hili Wanajenga hoja kuwa mwanamke kufanya kazi ni kuingilia majukumu ya mwanaume
👉Kundi hili linaenda mbali zaidi na kusema kuwa mwanamke anapokuwa mbali na nyumbani Yani kazini anapata mwanya wa kucheat na wafanyakazi wenzie
Sasa wakuu tuwekane Sawa kuna mkanganyiko mchuano ni mkali maana wapi kuna unafuu wanawake wa nyumbani vs wanawake wa makazini?
Naunga mkono hoja (opposers).
Hapo ngoja kwanza nipige moja baridi ntakuja kukujibu .. !!Kwa hela yake??
🤣Oya kaka hela ya mwanamke wewe Yann mzee kwanza mwanamke akitoa hela unapunguza hadhi ya kiume mzeeBinadamu yeyote hapa duniani Ni lazima afanye kazi.
Asiyefanya kazi na asile (afe)
Mwanamke kufanya kazi au kujishughulisha kiuchumi ni jambo muhimu kwake binafsi na kwa familia yake aliyoianzisha.Sasa A. Proposers wanasema mwanamke afanye Kazi.
1. Na hoja yao ya msingi ni 50/50 kimajukumu.
2. Hoja ya nyongeza ni wanawake wafanye kazi ili kujikeep busy.
👉 kundi hili wanasema mwanamke anae kaa nyumbani ni rahisi kufanya ufuska lakini pia ni mzigo (wahenga wakisema an idle mind is the workshop of devil)
Wanajenga hoja nyingine je mwanaume akitangulia mbele za hali je? 🤔mke atawahandle watoto vipi kama hakuwa na kazi
👉Na je hawa wanawake wenye degrees na diploma walienda Chuo kwa minajiri gani?
B. Kundi hili ni opposers wao wanasema mwanamke hatakiwi kufanya zaidi ya kulea nyumbani na kufanya domestic activities
👉Kundi hili Wanajenga hoja kuwa mwanamke kufanya kazi ni kuingilia majukumu ya mwanaume
👉Kundi hili linaenda mbali zaidi na kusema kuwa mwanamke anapokuwa mbali na nyumbani Yani kazini anapata mwanya wa kucheat na wafanyakazi wenzie
Sasa wakuu tuwekane Sawa kuna mkanganyiko mchuano ni mkali maana wapi kuna unafuu wanawake wa nyumbani vs wanawake wa makazini?
Naunga mkono hoja (opposers).
Kuna haja gani ya yeye kwenda kutafta hela za kusuka, za nguo za viatu, vocha ilhali naweza kutimiziaMwanamke kufanya kazi au kujishughulisha kiuchumi ni jambo muhimu kwake binafsi na kwa familia yake aliyoianzisha.
Kwake binafsi yeye amezaliwa ana wazazi na ndugu ikihitajika msaada anaweza kuhimili pasi na kukusumbua wewe mwanaume.
Kwa familia yake aliyoianzisha,wewe mwanaume unapokwama siku mwanamke anaweza kuokoa jahazi msilale njaa kwa kipindi fulani.
Japo sasa shida inakuja sehemu kuu mbili.
1)Asilimia kubwa wanawake wanaposhika hela aisee busara huwatoka kabisa na wanajisahau wao wana nafasi gani katika jamii.Tena mwanaume ukaja kukwama na yeye akasukuma gurudumu vumilia matusi mengi sana,naongea kutokana na uzoefu maana mimi nimeyapitia hayo nyuma na pia nimeona kwa watu wangu wa karibu.
2)Mwanamke asilimia kubwa hawezi kuutumia ama kuudhibiti uhuru wake.Mwanamke unapompa uhuru ni mtu wa kujisahau sana tena sana kuwa yeye ni nani na anapaswa afanye nini kulingana na mtu na mahali anapokuwepo.
Hili hata wanawake wenyewe hawawezi kulipinga.Hapo ndio linakuja hadi suala la usaliti na mengineyo.
Japo usaliti hata mwanamke wa nyumbani anaweza kukusaliti tena na mtu yeyote hata ndugu yako.
Usaliti hautizami pahala ukija unakuja tu.
Wanaume tutafuteni hela pia tusikataze wake zetu kufanya kazi ila tusizingatie pesa zao wala tusiwazingatie harakati zao.
Unaweza ukafa kwa kijiba roho.
Umeelewa hoja yangu mkuu!?haja gani ya yeye kwenda kutafta hela za kusuka, za nguo za viatu, vocha ilhali naweza kutimizia
Nimekuelewa Ila samahani mkuu. Naomba nkuulize kitu ila usikwazike huu ni mjadala.Umeelewa hoja yangu mkuu!?
Embu rudia kusoma upya hujaelewa nilichoongea.
Nimezungumzia binafsi kwa upande wa familia yake yani ndugu zake pia kwa upande wake na mumewe pindi atapokwama.
Mwanamke akiwa na uchumi kidogo inakusaidia mwanaume kutokuhusika na shida za kwao,mara baba mkwe anaumwa ana shida yeye mwenyewe anaweza kutimiza kuliko kuja kukuomba wewe hela ili ampe babaake.
Pia kama wewe ukikwama basi yeye anaweza iokoa familia kwa muda.
Soma kwa utulivu mkuu.
Kuna mahali nimegusia mahitaji binafsi yake yeye!?
Hapana nimegusia masuala binafsi sio mahitaji binafsi.
Tofautisha masuala binafsi(masuala ya ndugu zake ambako ni ukweni kwako) na mahitaji binafsi(mafuta,lotion,vipodozi).
Umeelewa hoja yangu mkuu!?

Tofautisha masuala binafsi(masuala ya ndugu zake ambako ni ukweni kwako) na mahitaji binafsi(mafuta,lotion,vipodozi).ni
IzO sio shidaUmeelewa hoja yangu mkuu!?
Embu rudia kusoma upya hujaelewa nilichoongea.
Nimezungumzia binafsi kwa upande wa familia yake yani ndugu zake pia kwa upande wake na mumewe pindi atapokwama.
Mwanamke akiwa na uchumi kidogo inakusaidia mwanaume kutokuhusika na shida za kwao,mara baba mkwe anaumwa ana shida yeye mwenyewe anaweza kutimiza kuliko kuja kukuomba wewe hela ili ampe babaake.
Pia kama wewe ukikwama basi yeye anaweza iokoa familia kwa muda.
Soma kwa utulivu mkuu.
Kuna mahali nimegusia mahitaji binafsi yake yeye!?
Hapana nimegusia masuala binafsi sio mahitaji binafsi.
Tofautisha masuala binafsi(masuala ya ndugu zake ambako ni ukweni kwako) na mahitaji binafsi(mafuta,lotion,vipodozi).
Bibi zenu walienda shamba kulima,walienda kufanya kazi kwenye mashamba ya wazungu ili baba zenu wakasome shule,walifanya kazi za kuingiza kipato kwenye familia ni kitu kile kile na mke wako akienda kazi asubuhi na kurudi jion
Kitu ambacho wengi hawakijui ni kuwa unaweza kuwa na mwanamke mwajiriwa na asiwe asiwe na msaada wowote katikata maendeleo yako.
Bottom line kila mbususu itaonja mbooooo zaidi ya 5 hilo uliweke kichwani.Je, unaamini katika 400 wote walikuwa waajiriwa? Kumbuka kuna mke wa pastor kwenye list tunaamini huyu si muajiriwa. Naamini wapo wengine pia ktk list ambao ni mama wa nyumbani.
Unachotakiwa kujua ni kwamba unapoingia kwenye ndoa yeyote anaweza kucheat, awe mwanamke awe mwanaume., anaekaa home au anaefanya kazi. Uaminifu hauko promised wala guaranteed kwenye ndoa. Know this and know peace.
Kuna wamama wa nyumbani ukielezwa machafu yao hutaamini. Acha kila mtu afanye kinachompendeza.
Sasa mke kama huyo wa nini....bora ukagegede malaya tuuKuna jamaa humu jamii forum aliwahi kulalamika mke wake analiwa 2M yeyd Ana laki 8 na Ila ado anaombwa hela ndogo ndogo na mkewe
🤣S umempenda Yan Ana 2M na marupu rupu ila Ada na kila kitu ni juu ya mshikajiSasa mke kama huyo wa nini....bora ukagegede malaya tuu