Wapo wanaosema wanawake wakae nyumbani kutunza familia na wapo wanaosema mwanamke afanye kazi. Tuwekane sawa

Bibi zenu walienda shamba kulima,walienda kufanya kazi kwenye mashamba ya wazungu ili baba zenu wakasome shule,walifanya kazi za kuingiza kipato kwenye familia ni kitu kile kile na mke wako akienda kazi asubuhi na kurudi jioni
 
Wenyewe wanawake wanasemaje.
 
Binadamu yeyote hapa duniani Ni lazima afanye kazi.

Asiyefanya kazi na asile (afe)
 
Binadamu yeyote hapa duniani Ni lazima afanye kazi.

Asiyefanya kazi na asile (afe)
🤣Oya kaka hela ya mwanamke wewe Yann mzee kwanza mwanamke akitoa hela unapunguza hadhi ya kiume mzee
 
Mwanamke kufanya kazi au kujishughulisha kiuchumi ni jambo muhimu kwake binafsi na kwa familia yake aliyoianzisha.
Kwake binafsi yeye amezaliwa ana wazazi na ndugu ikihitajika msaada anaweza kuhimili pasi na kukusumbua wewe mwanaume.
Kwa familia yake aliyoianzisha,wewe mwanaume unapokwama siku mwanamke anaweza kuokoa jahazi msilale njaa kwa kipindi fulani.

Japo sasa shida inakuja sehemu kuu mbili.
1)Asilimia kubwa wanawake wanaposhika hela aisee busara huwatoka kabisa na wanajisahau wao wana nafasi gani katika jamii.Tena mwanaume ukaja kukwama na yeye akasukuma gurudumu vumilia matusi mengi sana,naongea kutokana na uzoefu maana mimi nimeyapitia hayo nyuma na pia nimeona kwa watu wangu wa karibu.
2)Mwanamke asilimia kubwa hawezi kuutumia ama kuudhibiti uhuru wake.Mwanamke unapompa uhuru ni mtu wa kujisahau sana tena sana kuwa yeye ni nani na anapaswa afanye nini kulingana na mtu na mahali anapokuwepo.
Hili hata wanawake wenyewe hawawezi kulipinga.Hapo ndio linakuja hadi suala la usaliti na mengineyo.
Japo usaliti hata mwanamke wa nyumbani anaweza kukusaliti tena na mtu yeyote hata ndugu yako.
Usaliti hautizami pahala ukija unakuja tu.

Wanaume tutafuteni hela pia tusikataze wake zetu kufanya kazi ila tusizingatie pesa zao wala tusiwazingatie harakati zao.
Unaweza ukafa kwa kijiba roho.
 
Kuna haja gani ya yeye kwenda kutafta hela za kusuka, za nguo za viatu, vocha ilhali naweza kutimizia
 
haja gani ya yeye kwenda kutafta hela za kusuka, za nguo za viatu, vocha ilhali naweza kutimizia
Umeelewa hoja yangu mkuu!?
Embu rudia kusoma upya hujaelewa nilichoongea.
Nimezungumzia binafsi kwa upande wa familia yake yani ndugu zake pia kwa upande wake na mumewe pindi atapokwama.
Mwanamke akiwa na uchumi kidogo inakusaidia mwanaume kutokuhusika na shida za kwao,mara baba mkwe anaumwa ana shida yeye mwenyewe anaweza kutimiza kuliko kuja kukuomba wewe hela ili ampe babaake.
Pia kama wewe ukikwama basi yeye anaweza iokoa familia kwa muda.
Soma kwa utulivu mkuu.
Kuna mahali nimegusia mahitaji binafsi yake yeye!?
Hapana nimegusia masuala binafsi sio mahitaji binafsi.
Tofautisha masuala binafsi(masuala ya ndugu zake ambako ni ukweni kwako) na mahitaji binafsi(mafuta,lotion,vipodozi).
 
Ni
Nimekuelewa Ila samahani mkuu. Naomba nkuulize kitu ila usikwazike huu ni mjadala.

Ila Sasa kuna Ile hali imenitokea mtoto anakuwa anakosa Ata mapendo ya mama yake kutokana na kwamba mtoto ashinde na house girl au kule boarding aslimia 80 ya mda wake hivi

Hapo mtoto atakua katika njia iliyonyooka
 
Mwanamke hatakiwi afanye kazi nje ya za nyumbani na za mmewe tuu
Si aolewe na mwanaume mwingine na kuwa mtumwa wake
Mwanamke hapaswi amuhudumie,amnyenyekee mwanaume mwngine yoyote nje ya mmewe

Haikuwa hivyo tangu mwanzo .
Hio 50% kwa 50% ni mpango wa ibilisi na wanawake.
Mwanaume unapaswa uihudumie familia kwa kila kitu
Mkeo atakusaidia tu pale unahali mbaya ama unamadeni.

Shida zoote za dunia zimesababishwa na 50% 50%
Kabla ya hapo dunia ilikuwa sehemu nzuri sana
Mwanamke alipokuwa mahali pake.
Mkeo mjengee jiko lakutosha na kiti cha kuzunguka
Io ndio ofisi yake kuu, na watoto na nyumbani kwisha

Mke hakai na watoto,hakuhudumii, sasa ulimlipia mahari ya nini??
Ulimuoa wanini,
Ndoa nikifungo cha mwanamke kwa mwanaumewake.

Msijaribu kurahisisha ilo,mwanamke mwanamke asipokuwa chini ya kifungo chako atakuwa chini ya kiifungo cha mwanamme mwingine.
Achana na usasa .
Izo ndoa za kisasa hazina uhai ndani mwake

Ila nenda kaangalie jamii za kiisalam utajua mwanamke mahala pake ni wapi.
 
Iz
IzO sio shida
Unajaribu kuziweka kama shida
Shida kubwa utaitengeneza utapomruhusu afanye kazi na ajiingizie pesa.
Kusaidia familia yake utaisaidia tu atakama anakazi,
Unawajua wanawake vizur ww
 
Shamba ni kazi ya nyumbani usisahau ilo.

Bibi zenu walienda shamba kulima,walienda kufanya kazi kwenye mashamba ya wazungu ili baba zenu wakasome shule,walifanya kazi za kuingiza kipato kwenye familia ni kitu kile kile na mke wako akienda kazi asubuhi na kurudi jion
 
Mwanaume ndie atakaekula kwa jasho sio mwanamke
Mwanamke yeye analake aliambiwa
Kinachofanyika ni kupinduliwa kwa asili.
Mpango mzima huu wakumvuruga mwanaume umeanza mda mrefu sanaaaaa.
Miaka mingi mno ila kwa sasa ndio umefika kiwango chake cha juu mno.
Ishu ni kumuondoa mwanaume kwenye utaratibu
Na ili mwanaume aangushwe njia ni mwanamke tuu
Ndoa ni moja ya jiwe la mwisho kabisa la ibilisi.
Kati ya ndoa 10000 ndoa ya kweli ni moja
Wanawake wanafurahia ili,, na jinsi ndoa zilipofikia.
 
Single mama wengi wao hupata usingle mama huko kwenye kutafta Ima kuanzia elimu kazi biashara nk then wakiharibikiwa hamuwataki ni WA kupiga na kusepa, mwanamke ni dhaifu sio kama mwanamme, hata hiyo Kaz ni lazma men awepo kumsapot, Mimi wangu atakaa nyumbani wako wewe unayetaka akafanye kazi muache afanye kazi, yaani mke wangu Mimi ashinde na wewe kutwa nzima kiss kazi? Nimeoa hakuna mtu mwingine atakua na mamlaka juu yake zaid yangu hata wazazi wakimtaka ruhusa itatoka kwangu na ndiyo maana ukioa unavisha wewe, unalisha wewe unampa makazi wewe inamaanisha wewe ndo top kwake.
 
Kitu ambacho wengi hawakijui ni kuwa unaweza kuwa na mwanamke mwajiriwa na asiwe asiwe na msaada wowote katikata maendeleo yako.
 
Kuna jamaa humu jamii forum aliwahi kulalamika mke wake analiwa 2M yeyd Ana laki 8 na Ila ado anaombwa hela ndogo ndogo na mkewe
Kitu ambacho wengi hawakijui ni kuwa unaweza kuwa na mwanamke mwajiriwa na asiwe asiwe na msaada wowote katikata maendeleo yako.
 
Mnakwepa kukubali ukweli kwamba mmeoa MALAYA na mnajaribu kujitafutiza visababu visivyo vya msingi. A good woman will not just wake up and cheat either awe mama wa nyumbani, muajiriwa au kajiajiri.
Men today marry SLUTS and the fear losing them.
 
Bottom line kila mbususu itaonja mbooooo zaidi ya 5 hilo uliweke kichwani.
 
Kuna jamaa humu jamii forum aliwahi kulalamika mke wake analiwa 2M yeyd Ana laki 8 na Ila ado anaombwa hela ndogo ndogo na mkewe
Sasa mke kama huyo wa nini....bora ukagegede malaya tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…