Huo ndio ungese wenyewe 🤣🤣🤣🤣 alafu na watu wanajigegedea loh! Kuna wanaume mafala kweli duniani.🤣S umempenda Yan Ana 2M na marupu rupu ila Ada na kila kitu ni juu ya mshikaji
🤣Shenz shenz Yana tubadilishane Namba Sasa lete ya mkeo nakupa ya kuruka njia wanguHuo ndio ungese wenyewe 🤣🤣🤣🤣 alafu na watu wanajigegedea loh! Kuna wanaume mafala kweli duniani.
Mie nakubaliana na mwanaume kulipa 80% ya bills kwa nyumba ila pia tupeane uhuru wa kila mtu kugegeda na mugegedwa nje sitaki kupangiwa kuwa mke wangu pekee ndio wakugegeda na wala yeye sitaki agegedwe na mie tuu...anapaswa kuonja de liboloz huko nje.
Haman shida mzeya tena nataka nione unavyomgegeda mke wangu nijifunze kugegeda toka kwako🤣Shenz shenz Yana tubadilishane Namba Sasa lete ya mkeo nakupa ya kuruka njia wangu
Sasa A. Proposers wanasema mwanamke afanye Kazi.
1. Na hoja yao ya msingi ni 50/50 kimajukumu.
2. Hoja ya nyongeza ni wanawake wafanye kazi ili kujikeep busy.
👉 kundi hili wanasema mwanamke anae kaa nyumbani ni rahisi kufanya ufuska lakini pia ni mzigo (wahenga wakisema an idle mind is the workshop of devil)
Wanajenga hoja nyingine je mwanaume akitangulia mbele za hali je? 🤔mke atawahandle watoto vipi kama hakuwa na kazi
👉Na je hawa wanawake wenye degrees na diploma walienda Chuo kwa minajiri gani?
B. Kundi hili ni opposers wao wanasema mwanamke hatakiwi kufanya zaidi ya kulea nyumbani na kufanya domestic activities
👉Kundi hili Wanajenga hoja kuwa mwanamke kufanya kazi ni kuingilia majukumu ya mwanaume
👉Kundi hili linaenda mbali zaidi na kusema kuwa mwanamke anapokuwa mbali na nyumbani Yani kazini anapata mwanya wa kucheat na wafanyakazi wenzie
Sasa wakuu tuwekane Sawa kuna mkanganyiko mchuano ni mkali maana wapi kuna unafuu wanawake wa nyumbani vs wanawake wa makazini?
Naunga mkono hoja (opposers).
Mmmmh aisee hapo kuna mvurugano mkuu.Ni
Nimekuelewa Ila samahani mkuu. Naomba nkuulize kitu ila usikwazike huu ni mjadala.
Ila Sasa kuna Ile hali imenitokea mtoto anakuwa anakosa Ata mapendo ya mama yake kutokana na kwamba mtoto ashinde na house girl au kule boarding aslimia 80 ya mda wake hivi
Hapo mtoto atakua katika njia iliyonyooka