PostGE2025 Wapo wapi kina Wasira, Kikwete, Butiku? Njooni kama mlivyokuwa front kipindi cha kampeini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.

Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.

Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,

Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.

Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu

Mto wa mbu
Manhattan-USA
 
Kimya kama vipe hawajui kinachoendelea
 
Unaponuka mavi hakuna atakayekusogelea hata kama wewe ndiye uliyeandaa sherehe utabaki na harufu yako ya mavii
Nyie waswa
Kachafuka sana, na hii itabaki kuwa record vizazi na vizazi. Mungu amtie nguvu ampe na moyo wa utu, ikiwemo kukiri makosa na kukubali uwajibikaji
Haiwez kiri makosa? Ameshindwa kuwaadhibu Wambura, Chalamila,Mombo,mkunda
In short ameamua Kufa na tai shingoni.
 
Nmejifunza jambo kwenye maisha sio Kila ushauri ni wakifata hata kama una masilahi upande wako, hao jamaa wanajua KABISA hawawezi kuwa in charge kwa lolote lile ndo mana wanatoa maelekezo na kukaa nyuma
 
Nyie waswa

Haiwez kiri makosa? Ameshindwa kuwaadhibu Wambura, Chalamila,Mombo,mkunda
In short ameamua Kufa na tai shingoni.
Hata ukimuona Sasa sura inaeleza kabisa hayuko sawa. Something is burning inside.
Ukute analia sana akiwa peke yake. Sura imemvimba.
Wazee wa mjini wamemuingiza cha kiume afu wamekula Kona.
Wamemwachia msala.
 
Hao watu ilibidi washtuke polepole alipotekwa.

Now its too late for their legacy.
Heshima yao imeshuka mno

Watakumbukwa kwa mabaya hata kama kuna mazurí walifanya.

Legacy kwa wazee kama hao ilikuwa muhimu mno kuliko kuwapambania watoto wao uongozi. Watoto wangepambana kivyao nao kujenga heshima kama za baba zao.
Now look watu kama Kikwete. Hata mazr yake yamefutika.

Lakin bado hawajachelewa. Muda uliobaki can still save the nation
Wawajibishwe waliokosea, kusave CCM na Tanzania. Wasimuonee aibu kumwazibu mwenyekiti wao.

Wakiendelea kukaa kimya. Watajumuishwa kwenye uovu
 
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.

Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.

Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,

Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.

Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu

Mto wa mbu
Manhattan-USA
Kikwete ni 🚮🚮🚮
Huyu ukimchekea unapoteza
Fikiri tu alivyomsinichi Lowassa!

Yeye anakwambia akili za kuambiwa changanya na zako. Samia hajui hili
 
Kwa hali hii ilivyo watasemaje sasa! Yale mauaji ya kinyama ni zaidi ya kimbali
 
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.

Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.

Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,

Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.

Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu

Mto wa mbu
Manhattan-USA
Uchaguzi umefanyika,Samia rais,leo katunuku nishani wanajeshi,waliotaka pindua wamepata walichokitaka
Wasira jana aliongea na DW,ungetaka ungemsikiliza, kikwete anapanga mikakati akitumia connections zake kimataifa Ili pawe kimya baada ya mabumunda kufumuliwa
 
Huu msala ukichemka utawaona walivyo wanafiki hakuna atakayemsogelea watamuachia zigo apambane nalo peke yake
 
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.

Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.

Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,

Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.

Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu

Mto wa mbu
Manhattan-USA
Wapo wanakanda unga huku sura zimekunjama kama ngozi ya pumbu
 
Attachments

  • 20251120_192006.jpg
    20251120_192006.jpg
    63.8 KB · Views: 34
Nilichogundua mwanasiasa anaiogopa mahakama kulko mungu wake
 
Back
Top Bottom