PostGE2025 Wapo wapi kina Wasira, Kikwete, Butiku? Njooni kama mlivyokuwa front kipindi cha kampeini

PostGE2025 Wapo wapi kina Wasira, Kikwete, Butiku? Njooni kama mlivyokuwa front kipindi cha kampeini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao watu ilibidi washtuke polepole alipotekwa.

Now its too late for their legacy.
Heshima yao imeshuka mno

Watakumbukwa kwa mabaya hata kama kuna mazurí walifanya.

Legacy kwa wazee kama hao ilikuwa muhimu mno kuliko kuwapambania watoto wao uongozi. Watoto wangepambana kivyao nao kujenga heshima kama za baba zao.
Now look watu kama Kikwete. Hata mazr yake yamefutika.

Lakin bado hawajachelewa. Muda uliobaki can still save the nation
Wawajibishwe waliokosea, kusave CCM na Tanzania. Wasimuonee aibu kumwazibu mwenyekiti wao.

Wakiendelea kukaa kimya. Watajumuishwa kwenye uovu

Unategemea Kikwete atamuwajibisha Samia? Uliona siku Samia alipokula kiapo cha uRais haramu alifanya nini baada ya kula kiapo? Alikwenda kumkumbatia Kikwete mbele ya hadhara yote iliyokuwapo. Unadhani kumkumbatia kule hadharani kulikuwa na maana gani? Fungua akili yako utajua nini kinaendelea?
 
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.

Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.

Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,

Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.

Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu

Mto wa mbu
Manhattan-USA
HAO WAHUNI WANAJARIBU KUKIMBIA DAMU YA WATANGANYIKA WALIYO IMWAGA 29 KAMWE AWATOWEZA NI KAMA YULE JINI SPEAKER TULIA ALIVYO FANYA ...YEYE ANADHANI KUKIMBIA DAMU WALIYO MWAGA NI RAHISI KWA KUACHIA KITI CHA USPIKA
 
Fikra za ubinafsi, ujima, unyama, uovu dhidi ya wengine zimejengeka na kutukuzwa kuanzia chini kabisa hadi juu. Hali hii ndiyo iliyomharibia Samia na serikali kwa ujumla. Hata kama kuna mtu mwadilifu anajikuta amekumbwa na nguvu ya waovu.
Changamoto hii inaanzia kwa watumishi wa Uma wanaokosa uadilifu na kujipendekeza kwa wanasiasa kwa kiwango cha
kutotumia akili na mwisho kuwaharibia.
Nini kifanyike;
Weledi utumike katika mambo yote ya taifa, ikiwemo siasa. Tujielemishe kutumia watu wenye akili nzuri, waadilfu na wenye utu kivitendo kuanzia ngazi za chini za siasa, hadi juu.
Uteuzi wa machawa bila kuangalia fikra zao ukomeshwe mara moja. Chawa abaki kuwa chawa na nafasi za uongozi zitolewe kwa wenye uelewa na maadili.
 
Waoga. Warioba tu ndiye amesimama.

Tunahitaji Traore wetu. Mzalendo. Mwadilifu, mwaminifu achukue nchi, Step up Captain Tesha.
 
Washirika woooote ICC inawahusu
Punde kidogo wataanza kubwagana
Watachongeana watawindana watajitenga..
 
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.

Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.

Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,

Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.

Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu

Mto wa mbu
Manhattan-USA
Moja ya upuuzi mkubwa wa wanasiasa, ni kukutumia then wanaku dump kama mavi chooni.
 
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.

Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.

Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,

Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.

Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu

Mto wa mbu
Manhattan-USA
Si mliwaambia waki staafu wafanye biashara?
 
Back
Top Bottom