Hao watu ilibidi washtuke polepole alipotekwa.
Now its too late for their legacy.
Heshima yao imeshuka mno
Watakumbukwa kwa mabaya hata kama kuna mazurí walifanya.
Legacy kwa wazee kama hao ilikuwa muhimu mno kuliko kuwapambania watoto wao uongozi. Watoto wangepambana kivyao nao kujenga heshima kama za baba zao.
Now look watu kama Kikwete. Hata mazr yake yamefutika.
Lakin bado hawajachelewa. Muda uliobaki can still save the nation
Wawajibishwe waliokosea, kusave CCM na Tanzania. Wasimuonee aibu kumwazibu mwenyekiti wao.
Wakiendelea kukaa kimya. Watajumuishwa kwenye uovu
HAO WAHUNI WANAJARIBU KUKIMBIA DAMU YA WATANGANYIKA WALIYO IMWAGA 29 KAMWE AWATOWEZA NI KAMA YULE JINI SPEAKER TULIA ALIVYO FANYA ...YEYE ANADHANI KUKIMBIA DAMU WALIYO MWAGA NI RAHISI KWA KUACHIA KITI CHA USPIKAHuu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.
Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.
Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.
Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,
Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.
Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu
Mto wa mbu
Manhattan-USA
Moja ya upuuzi mkubwa wa wanasiasa, ni kukutumia then wanaku dump kama mavi chooni.Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.
Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.
Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.
Sasa Samia amefanya mauaji ya Kimbali ,Kwa kuua watu na kuwachinja watu kama Boko Haram,Kina kikwete na Wasira wanaona aibu ya kutoka public,
Nyie wazee toeni vichwa vyenu kama ambavyo mlikuwa front kipindi Cha kampeini.
Aione
Tyson
Boys 2men
Bootcu
Mto wa mbu
Manhattan-USA
Si mliwaambia waki staafu wafanye biashara?Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.