Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

Ukisema kipindi ambacgi hakuna umeme wa uhakika, hakika nakushangaaa sana sana sana!!!

Umekuwa muongo zaidi ya shetani mwenyewe
 
Umeandika vizuri ila ukaharibu mwishoni. Umfufue yule muuaji katili mwehu?
 
Jamani wamechoka na umri unakwenda, hebu jaribuni kubadilisha chombo na dereva, sasa madereva ni hao hao tuu tokea zama za Abunuwasi.

Vyama vya upinzani vinahitaji Damu mpya na changa
Nikweli kabisa
 
pambana mwenyewe wewe mliambiwa na lissu mjitokeze kuandamana mkajifanya wajinga acha ujinga wenu uwatafune mpaka akili ziwarudi

Waliojifanya wajinga ni hawa waliokuwa JKNIA au Kiluvya? Ni hawa hawa wakitokea kwenye join the chain au michango ya papo kwa papo iliyowatoa kina wakiwamo kina Mdee mbaroni?

Tunayaona haya sawa sawa kweli? Siyo kuwa:

Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi
 
Kuandamana kunasaidia nini?
July 9 : Waandamanaji waliandamana mpaka iikulu na kushinikiza rais ajiuzulu. Wakakaza mpaka wakafanikiwa. Sababu hasa zilikuwa hali ya gharama za maisha kupanda kuepelekea mambo kuwa magumu.

Sisemi na sisi tuige hapana, maandamano yanaweza kuwa ya amani lakin yenye kupeleka ujumbe kwa watawala.

Nchi kibao wamefanikiwa kwenye hili na wananchi wakasikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…