Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
- Thread starter
- #41
Tunahitaji watu imara watakao amsha fikra ya watu na kusema ukweliKwa hio kuna watu walikuja Duniani kutetea wengine? Wewe huna mdomo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji watu imara watakao amsha fikra ya watu na kusema ukweliKwa hio kuna watu walikuja Duniani kutetea wengine? Wewe huna mdomo?
Aisee ni hatariKila mtu ana price tag, SUGU alimuita kwenye uzinduzi, wa ubelgiji kalipwa MAFAO, wa kanada analipiwa mkopo Bank, na dj kafutiwa kesi ya UGAIDI....
Hadi wewe unaramba asali mkuu Taifa linakutegemeaNdio maana yake.
Tupo na kazi iendelee
P
Hatari sana mkuu.Aisee ni hatari
Kuandamana kunasaidia nini?pambana mwenyewe wewe mliambiwa na lissu mjitokeze kuandamana mkajifanya wajinga acha ujinga wenu uwatafune mpaka akili ziwarudi
Tumechaguliwa na ccm sio wote tumewachaguaWewe unauhakika wabunge waliopo bungeni hatukuwachagua?!
Kwa hio kuna watu walikuja Duniani kutetea wengine? Wewe huna mdomo?
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina TutuTunahitaji watu imara watakao amsha fikra ya watu na kusema ukweli
Kuandamana kunasaidia nini?
Umeandika vizuri ila ukaharibu mwishoni. Umfufue yule muuaji katili mwehu?Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa.
Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi Freeman mbowe na tindu lissu wasemaji hodari wa kuwasemea wanachi pale Mambo serikalini yanapoenda mrama, wapo wapi wale wakereketwa wa CCM waliokuwa wanamshambulia mwenda zake na serikali yake kipindi Mambo yalipokuwa hayaeleweki wapo wapi wale wakina kigogo 2014 na Mange Kimambi watu waliokuwa wakifichua maovu ya serikali ya awamu ya tano, vipi Tweeter ya kina chaali na wapazaji sauti wengine mbona kimya hapa jamii forum hatuwasikii Tena kina mzee Mwanakijiji na Faizafox.
Je, ukimya huu ni kielelezo kuwa Mambo yapo shwari?
Au ukimya huu ni kwamba watu wamechoka kuongea ukweli na wamesusa Sasa kila mtu apambane na hali yake?
Au ukimya huu ni kwamba wamefungwa midomo kwa kupewa asali warambe?
Kipindi ambacho ufisadi na ubadhilifu upo waziwazi, kipindi ambacho tozo zimepitiliza, kipindi ambacho vitu vimependa bei kupitiliza, kipindi ambacho uchumi wa nchi umeshuka sana, kipindi ambacho miradi mikubwa imesimama, kipindi ambacho umeme wetu sio wa uhakika, kipindi ambacho tunakopa hela kupitiliza, kipindi ambacho matumizi ya serikali ya mekuwa makubwa kuliko makusanyo, kipindi ambacho wenye nacho wanaongezewa na maskini wanapokonywa hadi kidogo walichonacho, kipindi ambacho wamachinga wananyanyaswa.
Je, ni sahihi watu tunaowategemea watusemee kukaa kimya je ukimya huu na kutokupaza sauti ni kwamba hawayaoni yanayoendelea au wameridhika na machozi ya Watanzania kila kukicha. Nani wakutusemea wananchi wanyonge tumebaki kulalamika tu nani wa kukosoa utendaji mbovu wa serikali nani wa kumwajibisha waziri wa nishati na waziri wa fedha kwa utumbo wanaotufanyia Nani wa kukemea ubadhilifu yupo wapi au tukamfufue magu?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nikweli kabisaJamani wamechoka na umri unakwenda, hebu jaribuni kubadilisha chombo na dereva, sasa madereva ni hao hao tuu tokea zama za Abunuwasi.
Vyama vya upinzani vinahitaji Damu mpya na changa
Hawaelewi au hawatakiNao wamechanganyikiwa hawaelewei wasemee kipi.....
pambana mwenyewe wewe mliambiwa na lissu mjitokeze kuandamana mkajifanya wajinga acha ujinga wenu uwatafune mpaka akili ziwarudi
Tunadhalilishwa kivipi? Au kwa kuwa wewe una V8 tena yenye tinted?Kwa aina ya watu Kama wewe ndio maana tunadhalilishwa
Wewe ulie bingwa wa kuandika humu kwenye mtandao mbona hujitokezi wakati kweli inapodhihiri?Wote tukiwa na akili Kama zako tutateseka sisi mpaka vizazi vyetu ni uwoga tu na unafiki.
Jibu hilo hapoAu ukimya huu ni kwamba watu wamechoka kuongea ukweli na wamesusa Sasa kila mtu apambane na hali yake?
July 9 : Waandamanaji waliandamana mpaka iikulu na kushinikiza rais ajiuzulu. Wakakaza mpaka wakafanikiwa. Sababu hasa zilikuwa hali ya gharama za maisha kupanda kuepelekea mambo kuwa magumu.Kuandamana kunasaidia nini?
Kwanini wewe na mumeo msiwe wapinzani wa kweli mkuu?Kwani uliowataja hao wote ni wabunge?ubunge umpe mtu mwingine afu kukusemea umuite mtu mwingine🙄
Tanzania,CCM haipendwi lakini hakuna upinzani wa kweli.