huyo namba 5
1. aliwajaza watu/ kinamama wenye shida
2. alileta miguu bandia bila kupima watu ikaishia stoo
3
Jina la pili la Daniel unalijua? Mwandishi wa habari za tukio hilo ni nani kwenye Bible?
No. moko muongo mpaka anajisahau, alafu akishajishtukia utasikia (Fulani oyeee huku akijichekesha mwenyewe.......)[emoji23][emoji23][emoji23]
Wote wanatoka jamii maskiniNdani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Upo sahihi ni jitu la hovyoNingemwondoa Bashite kwenye orodha hiyo na kumweka Bashiru.
Bashite hana hata hadhi ya kuwa kati ya watu wa kuwasikiliza kwa jambo lolote.
Nchi hii viwango vimeshuka sana, ndio maana tunadaka kila kitu.
Kwa basihite ni kwamba, rais ashampa mamlaka ya ku issue death warants.Ningemwondoa Bashite kwenye orodha hiyo na kumweka Bashiru.
Bashite hana hata hadhi ya kuwa kati ya watu wa kuwasikiliza kwa jambo lolote.
Nchi hii viwango vimeshuka sana, ndio maana tunadaka kila kitu.
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Hiyo taarifa aliitengwneza Dkt. John Pombe Magufuli, naanzaje kuiamini?Na yule mlevi ndio wa kuamika?View attachment 1494032
Anzisha uzi wako bwege!Ongezea na DJ muangushwa konyagi
Nilikua najaribu kutafakari hapa nikagundua No. Moja sio Muongo bali wewe ndio huelewi.Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.
Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.
Huyo mzee anaweza hata kunukuu vifungu vya biblia visivyokuwepo ili kujustfy uongo wakeHususani huyo no 1 ndiyo anaongoza kwa kupiga "fix" hapa nchini kwa kipindi hiki
lazima tukahakikishe sababu hawezi QUOTE bila kuchapi la kwake mzee wa fixNadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
Tangu aingie madarakani alikuta nchi ina wafanyakazi wasio zidi laki tano na mpaka saivi bado kuna wafanyakazi hao hao laki tano. Hilo moja mbili ni miradi ipi hiyo mikubwa ambayo inauwezo wa kutoa hizo ajira zaidi ya milioni sita? Hivi idadi ya watu zaidi ya milioni sita wewe unaichukuliaje kwa mfano yaani?Nilikua najaribu kutafakari hapa nikagundua No. Moja sio Muongo bali wewe ndio huelewi.
Fanya mahesabu ya wafanyakazi wa lioajiriwa moja kwa moja na wale wa muda katika miradi yote inayoendelea nchini.
Yaani hawa ni waongo kupindukia!Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Hawa watu mmmhhhhNdani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Wala havijanogaUmewaacha;
1. Godbless Lema
2. Peter Msigwa
3 Humphrey Polepole
4. n.k
Wasemao hivyo wote ni njaa wanatengeneza mazingira ya kujaza mikate matumboni mwaoSi wamesema huyo ni Yesu sasa atakuwaje mwongo tena?
Maswali yako wala hayana uhusiano na nilichosema. Daniel alipewa jina la Belteshaza na mkuu wa Matowashi. Nani mwandishi wa tukio siyo issue hapa, Ukweli ni kwamba Daniel hakuwepo kati ya waliotupwa kwenye tanuru la moto.Jina la pili la Daniel unalijua? Mwandishi wa habari za tukio hilo ni nani kwenye Bible?
Na uongo wao ni kishambashamba HIV kama watoto wanavyodanganyana😁😂😂😂😂😂Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda