Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.

Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.

Kwa mawazo yako we unafikiri vyuo vikuu vya tanzania kwa mwaka vinazalisha wahitimu wangap? Ukipata jibu zidisha mara miaka 5, ajira kweli zinaweza kuwa zimezalishwa lakin ujue pia wahitimu wanaozalishwa ni wengi, un employment rate kwa TZ bado ni ndogo na watu wengi wapo kwenye informal sector

====
Unemployment by Country The unemployment rate is defined as the percentage of unemployed workers in the total labor force. The unemployment rate includes workers who currently do not work, despite the fact that they are able and willing to do so.

The unemployment rate is a lagging indicator, meaning it responds (rises and falls) to changing economic conditions rather than predicts them. When the economy is growing at a healthy rate, the job market is plentiful and the unemployment rate will fall. When the economy is experiencing a recession or turbulent times, the unemployment rate tends to rise as a result of a lack of jobs.

There are three types of unemployment: frictional, structural, and seasonal. Frictional unemployment refers to temporary unemployment during the period when someone is searching for a job. Structural unemployment is the mismatch between workers’ skills or locations and job requirements. Seasonal unemployment is caused by seasonal changes in activity, such as in tourism or agriculture.

In the United States, the Bureau of Labor Statistics uses six different ways to calculate the unemployment rate. The most widely used and cited unemployment statistic is U-3, which defines unemployed people as those who are willing and able to work and who have actively searched for work in the past four weeks. Those who would like to work but are unable, such as those with disabilities, are not considered unemployed. The number of unemployed people, as defined by the U-3 statistic, is divided by the number of people in the labor force and then multiplied by 100.

Based on the latest information from the Bureau of Labor Statistics, the unemployment rate in the United States is 3.5%. After the 2008 recession, the unemployment rate reached almost 10% and has drastically decreased since then.

The International Labor Organization’s World Employment and Social Outlook: Trends 2019 reported that the world’s unemployment rate dropped below 5% in 2018, the lowest since the 2008 financial crisis.
The ten countries with the lowest unemployment rates are:
  1. Cambodia (0.30%)
  2. Qatar (0.60%)
  3. Thailand (0.70%)
  4. Belarus (1.0%)
  5. Benin (1.0%)
  6. Gibraltar (1.0%)
  7. Tonga (1.1%)
  8. Isle of Man (1.1%)
  9. Laos (1.5%)
  10. United Arab Emirates (1.60%)
The International Labor Organization’s report found, however, that many of the 3.3 billion people employed throughout the world are working under poor conditions that do no offer economic security, decent work opportunities, and lack material well-being. This being said, a low unemployment rate doesn’t necessarily mean more people are living in favorable, sustainable conditions.
The ten countries with the highest unemployment rates are:
  1. Burkina Faso (77%)
  2. Syria (50%)
  3. Senegal (48%)
  4. Haiti (40.60%)
  5. Kenya (40%)
  6. Djibouti (40%)
  7. Marshall Islands (36%)
  8. Namibia (34%)
  9. Kiribati (30.60%)
  10. Libya (30%)
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Nadhani magu ni funga kazi,kawadanganya watanzania kajenga barabara zenye jumla ya urefu wa km 3000,yaani sawa na Dar to Kigoma na kurudi.lakini ukiwa uliza washangiliaji wake wakutajie hata barabara moja yenye kilomita 100 iliyojengwa na magu from the word go utalala utaamka na hutapata majibu sana sana watakuambia kasome hotuba
 
Namba moja mzee wa mipasho na kuaibisha wateule wake, Yani eti unalihutubia Taifa " huyu anatembea na wake za watu" hii Ni sahihi Kweli? Yani Taifa zima lijue kuwa huyo jamaa ni womenizer Sana et?

Kwamba yeye hao wanawake hawajui eti? Kwahiyo ndo kumwaibisha mpaka kwa ukoo wake mzima, familia, ndugu na jamaa zake kama vile haitoshi mpaka nchi nzima tumejua.

Maskini aliyekuwa DAS pole yake Sana, si sawa hata kidogo wanaume kuaibishana namna Ile sio poa hata kidogo.
 
Nadhani magu ni funga kazi,kawadanganya watanzania kajenga barabara zenye jumla ya urefu wa 3000kilometers,yaani sawa na Dar to Kigoma na kurudi.lakini ukiwa uliza washangiliaji wake wakutajie hata barabara moja yenye kikomita 100 iliyojengwa na magu from the word go utalala utaamka na hutapata majibu sana sana watakuambia kasome hutuba
Aisee huyu mzee ni muongo! Jamani ni muongo sijawahi kuona.
 
Namba moja mzee wa mipasho na kuaibisha wateule wake, Yani eti unalihutubia Taifa " huyu anatembea na wake za watu" hii Ni sahihi Kweli? Yani Taifa zima lijue kuwa huyo jamaa ni womenizer Sana et?

Kwamba yeye hao wanawake hawajui eti? Kwahiyo ndo kumwaibisha mpaka kwa ukoo wake mzima, familia, ndugu na jamaa zake kama vile haitoshi mpaka nchi nzima tumejua.

Maskini aliyekuwa DAS pole yake Sana, si sawa hata kidogo wanaume kuaibishana namna Ile sio poa hata kidogo.
Ni m.j.i.n.g.a
 
  1. Wanasiasa
  2. Motivational speakers
  3. Wauza madawa ya asili na sabuni za asili barabaran
  4. Wazee wa kujiunga ukalete wengine wawili utakuwa milionea
  5. Manabii na mitume watoao mafuta, vitambaa, nk
  6. Wale wanaomsifia sana raisi
 
Mbowe anaweza kukwambia Lowasa ni fisadi baadae akasema ni msafi
Hakuna aliyeboa kama Tundu Lissu, kabisa alikuwa anatuambia wananchi et kama Lowassa fisadi mbona hajashtakiwa? anatumbia twende mahakamani.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Juzi nilipita mbughani nikadhani huko watalii wamefurika kumbe mmmmmm jamani siasa zingine. Nadhani huo Moto wanaotuandalia Ni mkubwa Kama limlima hivi
Mchezaji wa Simba ameshindwa kurudi bongo,no flight jamaa anawaambia wanyonge wake ndege zimejaa?harufu washangiliaji wanaitikia mamilioni ya watu wameacha shughuli zao ili wamsikilize yesu wa burigi
 
Parody la nguvu hilo, tangu aingie madarakani amefanikiwa kuwatumbua( kufuta ) wafanyakazi hewa zaidi ya 200K (Laki mbili) Lakini Cha kushangaza haajiri.

Mfano Mimi hapa ni muhanga, nna vyeti tu havina hata kazi, ajira yangu kubeti.

Maisha yangu ni odds 2 Mfano Manchester City vs Aston Villa naweka Home team % of possessing over 57 kwa odd ya 1.80 na Barcelona vs Atretco Madrid kwa Home double chance ya 1X kwa odd ya 1.22 baasi naweka 20,000 nakula 40,000 maisha yanasonga .

Ajira hakuna.
Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.

Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.
 
Lissu anaweza kukwambia jambo fulani tukifanya tunashtakiwa kumbe waapi
Alishikilia hilo jambo utasema kweli tutashtakiwa,huwa nafikiriga huyo jamaa akiwa Rais itakuaje?
 
  • Thanks
Reactions: T11
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba anadanganya mpaka mistari ya Bible
Kweli kabisa hata aki-quote Bibke wapo tutakaofuatilia kama ni kweli, kwani hukumbuki aliposema Daniel alitupwa kwenye tanuru la moto wakati siyo kweli, waliotupwa kwenye tanuru la moto ni Shedrak, Meshak na Abednego.
 
Back
Top Bottom