Aunt yako hana ujanja kwangu wanasema kafikaa ..niachie hiyo kaziiiii....sasa itabidi ujipange maana kanda ya kaskazini imeamua kurudisha majeshi japo maadui wanaongezeka kila siku. Hawa maadui inabidi unitumie hela nikutafutie mafuta ya baraka tuwaroge washindwe kuomuona aunt yangu
Aunt yako hana ujanja kwangu wanasema kafikaa ..niachie hiyo kaziiiii
Nina ushahidi wa hiloWewe! Toka lini uzuri > bahati?
Makapuku huwa napitaga ila kwa sasa nimekuwa mvivu sana.....ha hahahhaha, siasani kidogo na kimataifa kabla ya kuunganisha majina. Makapuku kuna kila kitu, uwe unatembelea mara nyingi.
FYI: Nimejiunga makapuku wakati nasubiri mtoto wangu azaliwe, Jamii Dokta ilinishawishi
Makapuku huwa napitaga ila kwa sasa nimekuwa mvivu sana.
Mimi natembekea majukwaa yote ambayo yako free tukiacha yale yanayohitaji acces kutoka kwa Mods.
Jambo ambalo linanifanya nisiweze kustick sehemu moja ni kupashana current news hasa kwenye majukwaa ya Siasa, Habari na Hoja Mchanganyiko na International.
Pia mimi nikiwa hapa jukwaani nakuwa naperuzi kwenye trending posts ambapo nakutana na nyuz tofauti kutoka majukwaa tofauti. Nakutana na nyuzi kongwe kama Makapuku zikiwa juu lakini nazipotezea badala yake nazisaka nyuzi mpya mpya.
Usijali bana nitakuwa napita mara moja moja huko kwa Kapukuz.
Aunt yako hana ujanja kwangu wanasema kafikaa ..niachie hiyo kaziiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu wewe kinachokufurahisha
SawaSema ameshajua
HahahahahaaaaMimi pia huwa nappitia recent posts then naingia siasani kusoma kidogo na kujiumiza roho halafu naenda Makapuku kwenye maarifa
Ndio mkuu, ukiizoea ukiiona popote lazima utambue yule ni fulaniHivi kumbe watu huwa wanakariri avatar za watu humu, aiseee...???
Kama ndo wewe kwenye avatar hii,basi naamini hata uliyoitoa ni wewe!Aiseeee
Mkuu nimechoka kuweka avatar za watu nimeamua kujiweka mwenyewe jaman utaizoea tu na hii taratibu jaman mbona unanipa mtihani mpaka thread
Sawa, ila kuna JF users wengi sn. Inapendeza laknNdio mkuu, ukiizoea ukiiona popote lazima utambue yule ni fulani
Kweli mkuuSawa, ila kuna JF users wengi sn. Inapendeza lakn
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji4] [emoji4]Ndo ubest wa mabusu ya mgongoni
Mara ya mwisho kupata ban ni lini au hujui kuwa ni kosa kubwa kutaman mke wa mwanajamvi mwenzako hapa jf ??
Hahaha ya viatu vya bluu au ya kale kakatuniAhahhaha nakumbuka ile ya kwako
Nlitoaga zile za bluu shunie akapoteana[emoji23]Na wewe hizo skonko ukizitoa wallah nitakusahau shost
Hahahaha na hivi una utaalam wa kuchepuka wew,utamsaidia kuzigundua hizo njia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pale atakapo gundua njia za michepuko mbona atakirudishaa
Hapana bhana [emoji23] [emoji23]Nina ushahidi wa hilo