Waraka kwako shunie

Waraka kwako shunie

....sasa itabidi ujipange maana kanda ya kaskazini imeamua kurudisha majeshi japo maadui wanaongezeka kila siku. Hawa maadui inabidi unitumie hela nikutafutie mafuta ya baraka tuwaroge washindwe kuomuona aunt yangu
Aunt yako hana ujanja kwangu wanasema kafikaa ..niachie hiyo kaziiiii
 
Aunt yako hana ujanja kwangu wanasema kafikaa ..niachie hiyo kaziiiii
132051571897.gif
 
....ha hahahhaha, siasani kidogo na kimataifa kabla ya kuunganisha majina. Makapuku kuna kila kitu, uwe unatembelea mara nyingi.

FYI: Nimejiunga makapuku wakati nasubiri mtoto wangu azaliwe, Jamii Dokta ilinishawishi
Makapuku huwa napitaga ila kwa sasa nimekuwa mvivu sana.

Mimi natembekea majukwaa yote ambayo yako free tukiacha yale yanayohitaji acces kutoka kwa Mods.

Jambo ambalo linanifanya nisiweze kustick sehemu moja ni kupashana current news hasa kwenye majukwaa ya Siasa, Habari na Hoja Mchanganyiko na International.

Pia mimi nikiwa hapa jukwaani nakuwa naperuzi kwenye trending posts ambapo nakutana na nyuz tofauti kutoka majukwaa tofauti. Nakutana na nyuzi kongwe kama Makapuku zikiwa juu lakini nazipotezea badala yake nazisaka nyuzi mpya mpya.

Usijali bana nitakuwa napita mara moja moja huko kwa Kapukuz.
 
Mimi pia huwa nappitia recent posts then naingia siasani kusoma kidogo na kujiumiza roho halafu naenda Makapuku kwenye maarifa

giphy.gif
 
Mimi pia huwa nappitia recent posts then naingia siasani kusoma kidogo na kujiumiza roho halafu naenda Makapuku kwenye maarifa

giphy.gif
Hahahahahaaaa

Kila la kheri!!!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Aiseeee
Mkuu nimechoka kuweka avatar za watu nimeamua kujiweka mwenyewe jaman utaizoea tu na hii taratibu jaman mbona unanipa mtihani mpaka thread
Kama ndo wewe kwenye avatar hii,basi naamini hata uliyoitoa ni wewe!
Mama,niko tayari kukuhonga meli..tafadhali njoo pm!
 
Ndo ubest wa mabusu ya mgongoni

Mara ya mwisho kupata ban ni lini au hujui kuwa ni kosa kubwa kutaman mke wa mwanajamvi mwenzako hapa jf ??
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom