Ndiyo maana watu wengi wameanza kufuatilia siasa mwaka 2008 wakati wa kina Zitto na EPA huwezi kujua nini kilitokea huko nyuma. Siasa za mihemko, Alipotoa hiyo Homily kina Mrema na kina Marando walimsambulia sana kwasababu wao walimuelewa kuwa kawafananisha na Hittler. Ndiyo maana nimekuambia namfahamu Pengo ungeniuliza huyo rafiki yangu nilisoma naye wapi labda ungepata jibu nzuri. Kwa kifupi mimi ni mmoja ya wale Yesu alisema waitwao ni wengi lakini wachaguliwao ni wachache muombeni bwana wa mavuno aongeze watendaji kazi katika shamba lake. nadhani umenielewa nina maanisha niniMwaka gani alitamka haya?
Mkuu hayo mengine sijabisha. Swali langu alitamka mwaka gani hayo maneno?Ndiyo maana watu wengi wameanza kufuatilia siasa mwaka 2008 wakati wa kina Zitto na EPA huwezi kujua nini kilitokea huko nyuma. Siasa za mihemko, Alipotoa hiyo Homily kina Mrema na kina Marando walimsambulia sana kwasababu wao walimuelewa kuwa kawafananisha na Hittler. Ndiyo maana nimekuambia namfahamu Pengo ungeniuliza huyo rafiki yangu nilisoma naye wapi labda ungepata jibu nzuri. Kwa kifupi mimi ni mmoja ya wale Yesu alisema waitwao ni wengi lakini wachaguliwao ni wachache muombeni bwana wa mavuno aongeze watendaji kazi katika shamba lake. nadhani umenielewa nina maanisha nini
Sasa huu ni wa aina yake, maana haijawahi kutokea Baraza lenyewe likatoa tamko kali hivi. Huko nyuma matamko ya Kanisa yametolewa na kamati za Baraza, na siyo Baraza lenyewe. Na baadhi ya Maaskofu waliweza kutamka kutokubaliana. Hili ni tofauti. Hii ni rasmi kabisa ya Baraza zima na kama unavyoona kule mwisho Maaskofu wote wamejiorodhesha. siyo mchezo.
Wako smart siwajua wanafiki hawakosekaniNa ndo maana wameorodhesha majina mwishoni ili mtu asikane baadae
Ipo tofauti. Zile Nyaraka za 2010 za Kanisa Katoliki kama kaulimbiu ya kuwaandaa waumini kwa uchaguzi mkuu, na hata ule wa karibuni zaidi ambao Kardinali Pengo aliukana, zilitolewa na kamati za Baraza la Maaskofu. tofauti ni kwamba ile inakuwa imeidhinishwa na askofu mhusika wa kamati. hapo utaona jina la Askofu mmoja tu ambaye ndiye mkuu wa Kamati husika. na pia Waraka unakuwa na nguvu ya kushauri tu, si wa kimamlaka kwa nchi nzima. ndio maana Pengo aliukana bila kuwa na wasiwasi.Matamko yote hutolewa na Baraza la Maaskofu,kuukana au kutoukana ni hulka ya mtu,hata leo anaweza kuukana ila safafri hii mkanaji wamemuweza wameliweka jina lake la tatu ili akikana aulizwe haraka.
Ipo tofauti. Zile Nyaraka za 2010 za Kanisa Katoliki kama kaulimbiu ya kuwaandaa waumini kwa uchaguzi mkuu, na hata ule wa karibuni zaidi ambao Kardinali Pengo aliukana, zilitolewa na kamati za Baraza la Maaskofu. tofauti ni kwamba ile inakuwa imeidhinishwa na askofu mhusika wa kamati. hapo utaona jina la Askofu mmoja tu ambaye ndiye mkuu wa Kamati husika. na pia Waraka unakuwa na nguvu ya kushauri tu, si wa kimamlaka kwa nchi nzima. ndio maana Pengo aliukana bila kuwa na wasiwasi.
Huu wa sasa umetolewa na Baraza lenyewe la Maaskofu na wameusaini Maaskofu wote wa nchi nzima. hapo sasa waraka huu una nguvu za kutumika kama nyenzo ya uinjilishaji kwa taifa zima. Ni kauli rasmi ya Kanisa Katoliki Tanzania na Maaskofu wote kwa kweli wanalazimika kuuheshimu. Ni tofauti kubwa sana na Historia imeandikwa.
Sitoshangaa kusikia kwamba hatua ya Maaskofu wa Kongo kusimama imara na kumkemea Rais Kabila, imewachangamsha Maaskofu wetu na kuwaamsha kwenye usingizi. Maaskofu wa Kongo wametenda sawa kama Yohane Mbatizaji, ambaye hakuogopa nguvu na vitisho vya Herode pamoja na mkewe ambaye naye alikuwa na nguvu nyingi katika utawala ule. Japokuwa Yohane hatimaye aliuawa kwa njama za mke wa mfalme Herode, bado mbele ya Mungu ni shujaa na shahidi, na hilo ndiyo jambo la muhimu sana. Kuwa na kibali mbele za Mungu. Maaskofu wa Kongo wanajua gharama za kupingana na serikali ya Kabila, lakini hiyo haiwazuii kusimamia haki. Maaskofu wetu naona wamepata somo zuri sana hapo.Sasa huu waraka mbona kama unaharufu ya maaskofu wa katoliki huko Congo??? Duh!
thubutu!Ngoja tuone kama watatumiwa TRA maana katoliki wana miradi mingi
Kwa BAKWATA hii siyo rahisi. Ni kweli kwamba BAKWATA inaingiliwa sana na serikali, na kwa sasa iko dhaifu sana. kulikuwa na ile inaitwa SHURA YA MAIMAMU, halafu kulikuwa na BARAZA LA KUENDELEZA KUR-ANI, nadhani BALUKTA. Hivyo vyombo viwili vilikuwa na nguvu sana na vilikuwa havitegemei fadhila za serikali. lakini sijui viliishia wapi.Mindi Ngoja tuone Bakwata kama watatia neno!huo waraka ungetolewa na Sheikh Ponda pangekua pameshawaka moto saa hii
Hizi ni habari za kusadikika kwangu nachukulia kama ni fiction hazina ukweli wowote. Lakini sikuzui wewe kuamini.
Ilikuwa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu, chini ya Askofu Mkuu Paulo Ruzoka. Ni kweli Rais wa TEC ndiye msemaji wa Kanisa Katoliki Tanzania. ndiyo maana siyo rahisi Kardinali Pengo kuukana waraka huu. itamletea matatizo makubwa sana.Na unajua ndiyo sababu na wenzake wakamkana pia?Rais wa Baraza La Maaskofu ana nguvu na ndiye msemaji wa Kanisa,kwa maana ndiye anayeunganisha maaskofu wengine.Ile Haikuwa Kamati bali wakati wanafanya Mkutano Pengo alikuwa nje kwa Matibabu.
Wamemchoka muumini wao kwa kukiuka sheria ya dini na nchi pia .Sasa huu ni wa aina yake, maana haijawahi kutokea Baraza lenyewe likatoa tamko kali hivi. Huko nyuma matamko ya Kanisa yametolewa na kamati za Baraza, na siyo Baraza lenyewe. Na baadhi ya Maaskofu waliweza kutamka kutokubaliana. Hili ni tofauti. Hii ni rasmi kabisa ya Baraza zima na kama unavyoona kule mwisho Maaskofu wote wamejiorodhesha. siyo mchezo.
Ilikuwa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu, chini ya Askofu Mkuu Paulo Ruzoka. Ni kweli Rais wa TEC ndiye msemaji wa Kanisa Katoliki Tanzania. ndiyo maana siyo rahisi Kardinali Pengo kuukana waraka huu. itamletea matatizo makubwa sana.
Kwa hiyo hatutarajii kwamba baadhi ya Maaskofu watajitenga na kauli hii. Hii ni kauli rasmi ya Kanisa Katoliki. kwa hiyo hapo serikali itabidi itoe kauli. kama itakaa kimya, maana yake tumepata sauti nyingine ya kuukosoa utawala wa JPM. tulikuwa na sauti moja tu iliyothubutu kumkosoa JPM hadharani, Tundu Lissu. sasa limeongezeka na Kanisa Katoliki. Kama JPM ataaza ligi na Kanisa Katoliki, basi hiyo itakuwa ni ligi ya mabingwa. ni mtanange mkali.....kwa hiyo !?