Chausingizi P
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 100
- 294
Wafutieni usajili, maana wanachanganya siasa na dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk msafara wa MAMBA kenge HUWEPO!Umeshaambiwa ili waraka uungwe mkono ni lazima 70% ya wajumbe waridhie.
Huyo pengo wako ni ile 30% iliyobaki.
Halafu majukumu ya Pengo yanaishie kwenye Jimbo lake hivyo yuko sawa tu kama maaskofu wengine.
Usiwe mpumbavu.
[emoji16][emoji106]Ktk msafara wa MAMBA kenge HUWEPO!
Nashukuru kwa kunielewa.[emoji16][emoji106]
Kulifuta kanisa Katoliki ni kama kufanya attempt ya Kuifuta nchi....Wafutieni usajili, maana wanachanganya siasa na dini.
Namsubiri "rafiki" wa pinda atie neno maana hakawii kusema alikua Vatican hahusiki na "tamko"
Aliye karibu na Kadinali Pengo aniambie yupo katika hali gani
Ndoto.. Humtakii mema jiwe wwWafutieni usajili, maana wanachanganya siasa na dini.