WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Halooo...kumbe hata kipindi cha mwendazake Hawa jamaa walitoa waraka..
 
Leo kondoo wameanza kuimbishwa kanisani kwaya mpya ya DP-WORLD.

Halafu uhuru upi wa maoni mnaoulalamikia tena?
 
Hii nchi ngumu sana hasa kuongoza watu wenye akili kama zako watu wasiojali ukweli wanaotafuta sababu ili kutenganisha watu..
Watatumia udini na sababu nyingi kwa manufaa yao kwa ufupi wewe ni mbinafsi usiotaka wengi wawe mbele.
 
Kosa linaloenda kufanywa ni kuwajibu tec kwa kutumia makosa hiyo inaonyesha huo mkataba wa dipi welidiii nao una MAKOSA 😂😂😂
 
We taira ulikua nchi gani awamu ya 5???
Vicha ujuha wako basi
 
Huko mbali sana

Waulize tu walikuwa wapi wakati Maaskofu wenzao wamekula pesa za escrow?

 
Walikua alipokua Rais wa sasa pamoja na Bakwata
 
Labda ulikua haujazaliwa
 
Bora TEC huwa hata wanatoa matamko, mi kwa kweli sijawahi wasikia BAKWATA wakitoa tamko, ama hawana uchungu na hii nchi?
 
Achana na awamu ya Tano,sisi tunaangalia Sasa... Viva baraza la maaskofu, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…