figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ndio ujue kuna watu awajali hii kitu kabisa.....wapo wapo tu..Nchi ipo kwenye Ghalika ya Changamoto ya Upumuaji lakin bado watu wanawaza Uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama CCM ina miaka 60 kimeshindwa kuwa makini kuwakomboa watanzania mpaka leo hawaijui kesho itakuwaje itakuwa NCCR?Nccr kinaokana kuwa chama makini katika kumkomboa mwananchi kwa sasa,sio kule kunakoteketea kwa moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia darubini gani, na kwanini usitumie hiyo darubini kujua Corona itaisha lini?!Nccr kinaokana kuwa chama makini katika kumkomboa mwananchi kwa sasa,sio kule kunakoteketea kwa moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitie moyo mkuu!!NCCR wanapiga hesabu za kijinga kweli, yaani wanategemea kubebwa na JPM?
Hawajui kuwa yeye mwenyewe anapumulia machine uchaguzi huu ujao? Ndani ya chama chake mwenyewe hali in ngumu na nje no ngumu zaidi. Na baada ya corona hii sijui hasira za wananchi kwenye sanduku LA kura itakuwaje.