Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

Mbatia hana awezalo zaidi ya kushinda mahakamani
NCCR wanapiga hesabu za kijinga kweli, yaani wanategemea kubebwa na JPM?
Hawajui kuwa yeye mwenyewe anapumulia machine uchaguzi huu ujao? Ndani ya chama chake mwenyewe hali in ngumu na nje no ngumu zaidi. Na baada ya corona hii sijui hasira za wananchi kwenye sanduku LA kura itakuwaje.

In God we Trust
 
View attachment 1433320

Isomwe kwenye jalada

Tulisema Chadema mwisho wenu unakaribia kutokana na siasa zenu za kibabe, dharau, matusi

Haya sasa wenye kuipenda Tanzania wanawakimbia

Hivi lengo la NCCR ni kuikomoa CDM au kuleta mabadiliko??
Yaani strategically kabisa chama kinawaza wabunge 20 nchi nzima??
Something must be wrong somewhere...!!
Wananchi shtukeni!!
 
Nccr mageuzi kazi ya kwanza ni kufuta zile siasa za uongo za Chadema

Nyie mna wasomi Wengi tunawaamini
Nafikiri waanze kuifuta ccm iliyo wadanganya watanzania kwa miaka zaidi ya 58

In God we Trust
 
Hivi lengo la NCCR ni kuikomoa CDM au kuleta mabadiliko??
Yaani strategically kabisa chama kinawaza wabunge 20 nchi nzima??
Something must be wrong somewhere...!!
Wananchi shtukeni!!
Sijui, ila ninavyoona makubaliano yake James Mbatia na Magufuli ni KUACHIANA MAJIMBO, katika kuachiana hayo 20 ndiyo majimbo waliyopewa kugombea, sasa hawezi kusimamisha wagombea nji nzima wakati kapewa hayo 20, akifanya vinginevyo atakuwa ana kiuka makubaliano.
Na hao wagombea aliowataja ni wazi AMESHAONGEA NAO NA WAMEKUBALI, vinginevyo asinge waanika kwenye waraka wake.
Jibu NDIYO hao NCCR nia yao ni Kuibomoa CDM ndio mkakati wao na waliopewa kusaidiwa na CCM.
Hayo ni naoni yangu.
 
Ata ashuke malaika aje agombee nccr hawatoweza kupata kura yangu, nawaona kama wahuni fulani na watu wa mzaha wakati wa kujadili mambo ya msingi ya taifa hili. Shame on you Mbatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananchi wanatakiwa kushtukia hii michezo ya ccm kutengeneza upinzani hewa...
 
Vyama vya Siasa hapa Tanzania ni CCM na CHADEMA. Nyie wengine ni matawi tu. Either kwa kujua au hamjui.
Wakuu,

Huu ni Walaka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakua naupdate kila kinachojiri.

Sisi tunahukumiwa kwa lipi?-Ndugu James Mbatia​

“Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” Methali hii inajidhihirisha, kumezuka shutuma kubwa dhidi yetu ya kile wanachokiita usaliti. Mara baada ya kupokea viongozi wa vyama na wanachama mbalimbali kutoka katika vyama vyao na kujiunga na chama chetu cha NCCR-Mageuzi.

Hayo yote yanaibuka baada ya kuona wimbi kubwa la watu wanaimba wimbo wa UTU, UTU, UTU.

Kuhama chama kimoja na kwenda kingine si jambo geni ulimwenguni kote ikizingatia kila mmoja ana haki na uhuru wa kujiunga na chama chochote cha siasa anachokipenda. Lakini pia NCCR-Mageuzi hapo nyuma ilipoteza wanachama wengi waliohamia kwenye vyama hivyo hivyo ambavyo leo wanatuita wasaliti na sisi hatukuwahi kulalamika".

S
iasa
 
Wananchi wanatakiwa kushtukia hii michezo ya ccm kutengeneza upinzani hewa...
Hahaha kila kifanyikacho hakuna lolote lenye mamlaka ya wananchi, kila kitu ni maamuzi ya mwenyeketi mwenyewe wa ccm, wananchi ni kisingizio tu.
Bunge haliamui chochote Bali ni rubber stamp, na mara nyingi hata hiyo rubber stamp huwa inatumiwa after the fact.
Utasikia no one is above the law lakini wanasahau mwenyeketi wa ccm yuko way above and over the law.
 
Wewe umezaliwa juzi huijui Nccr mageuzi

Hicho Ndio chama kilichowahi kuwa na wabunge Wengi ktk historia ya vyama vya upinzani
Ata ashuke malaika aje agombee nccr hawatoweza kupata kura yangu, nawaona kama wahuni fulani na watu wa mzaha wakati wa kujadili mambo ya msingi ya taifa hili. Shame on you Mbatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wana cdm Tunashukuru sana kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kwa miaka 10 na kuwatetea wananchi na kuifanya ccm ije na mbinu chafu za kutudhoofisha kwa kutumia rasilimali za nchi yetu.

Back
Top Bottom