Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

Kwa hiyo hao niliowaweka alama si bado wapo chadema, except selaisin ambaye leo ndo kaenda chadema?!! Maisha hayaaa hadi @davidsilinde?????
tapatalk_1588076610910.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni waraka fake, bila shaka umeandaliwa na chadema kuichafua NCCR Mageuzi, hakuna ukweli hapa
 
Mbatia keshafika bei!!

Ni wazi atapewa majimbo kadhaa ili awe KUB Bungeni, ila yote haya ni bure tu.
 
Hii corona hii
Hakuna aijuaye kesho
Tuwe wapole kwanza
*** nccr ni kama jogoo anataka kuchinjwa
Mmempokea selasini basi mmejipa ushindi mnachekesha kweli
 
Wewe umezaliwa juzi huijui Nccr mageuzi

Hicho Ndio chama kilichowahi kuwa na wabunge Wengi ktk historia ya vyama vya upinzani
NCCR imefikia rekodi ya wabunge wa chadema 2015?

Hakuna chama cha upinzani kimefikia level ya CHADEMA

Hao NCCR kma wanajiamini si wapike wagombea wao why wasubiri makapi 20 ya CHADEMA.

CHADEMA ili groom kina Mnyika,Mdee,Silinde,Heche,Matiko,Shonza,kafulila,zitto bila kutegemea makapi.

Kma huu waraka ni ukweli basi kuitoa CCM ni ndoto
 
Back
Top Bottom