Kama laana zinawatafuna ccm mlicuomfanyia mangula??
bia yetuNccr mageuzi tunawategemea watuvush,nyie Ndio Wapinzani halisi hamtumiki na Mabeberu
Tuliwaamini Chadema wakaishia kuporomosha matusi
NCCR imefikia rekodi ya wabunge wa chadema 2015?Wewe umezaliwa juzi huijui Nccr mageuzi
Hicho Ndio chama kilichowahi kuwa na wabunge Wengi ktk historia ya vyama vya upinzani
Laana ilihali wagombea wanaorudi ni CHADEMA ile ile? Hvi CHADEMA aliyelaaniwa ni nani huyo? Maana kama ni viongozi si ndio Hao hao mnawachukua CCM na kuwapa ubunge na uwaziri!!