Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Rene

Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
29
Reaction score
50
Huu ndio Waraka/Mkakati uliopelekea Kitila na Zitto kupoteza uanachama wao ndani ya CHADEMA

Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto kuvuliwa uanachama CHADEMA - JamiiForums
 
M2 kipato chake kiko hoi. Huyu mbona atafahamika haraka sana?
 
Aisee kama hivi ZZK hawawezi kumng'oa CDM sema kuna uchocheaji kutoa southern block si vibaya kuzungumzia katiba ya chama katika suala la uchaguzi wa viongozi,na sio vibaya kugombea nafasi kwa mbinu anazozijua yeye ndani ya chama so long as tena ALIAHIDIWA kwa staili hii DJ MBOWE ndo tatizo ndani ya chama na amini usiamini CDM itakufa kwa staili hii ya kung'ang'ania madaraka na HATUTAWEZA kuing'oa ccm kama tunapita kwenye mkondo wa dhambi zilezile za magamba
I conclude hakua na nia mbaya achilia mbali shutuma za kukihujumu chama
Na kama rohoni kwake ni CDM damu ipo siku tutakubali kua ukweli unapanda ngazi na ukweli unapanda lift
Ni maamuzi mabaya ya chadema ambayo wamewahi kuyafanya na ni mpango wa kukiua chama
 
....Ni katika mfumo huu wa kipuuzi mida eight amekuwa akitumika vibaya kwa kumshambulia mtendaji mkuu msaidizi hadharani kwa kutumia mitandao ya kijamii na wakuu wanafurahia na kumlipa pesa....
Mwigamba, Zitto and all MMs are dumpers! I had always though Mwigamba know basics of intelligence works at least in recording, documenting and communication but I was very wrong!
 
Last edited by a moderator:
Hata kama lakini yaliyoongelewa kwenye waraka huu ni ya kweli..ama kweli Chadema ina wenyewe.
 
Aisee kama hivi ZZK hawawezi kumng'oa CDM sema kuna uchocheaji kutoa southern block si vibaya kuzungumzia katiba ya chama katika suala la uchaguzi wa viongozi
I conclude hakua na nia mbaya achilia mbali shutuma za kukihujumu chama!!

Kamba imekatikia kwenye huu waraka tu mkuu!
 
Dr. Slaa mnafiki sana. Yeye ndio mchochezi wa vurugu zote hizi lakini leo anajifanya kamuachia Tundu Lissu ndio atoe taarifa kwa waandishi.

Dr. Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…