Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Chadema imeshakufa, thats all. Kwenye uchaguzi kunakuwa na kambi, kwann chadema ni dhambi kuwa na kambi na ni dhambi kutofautiana kimawazo na mtizamo?


ni dhambi mbaya sana....kama mmekubaliana mnaenda vitani mwenzako anarusha risasi hewani mbele ya adui..dawa ni kumpiga risasi tu ubaki mwenyewe....
hongera cdm
 
Jamani labda huu waraka sio wenyewe.

Kama ni wenyewe kuna nini cha ajabu hapa kwenye siasa za vyama na demokrasia? Bila mikakati huwezi kupata hata ubalozi.
 
Huyo anaempigia chapuo anafaa sana lkn kasoro yake ni kubwa kuliko hata mwanachadema wa darasa la saba, mkumbo anajua kwamba huyu jamaa anatumika kuiua CDM, sasa akiwa leo ndio uskani wa CDM si ndio tunazika chama.Nafikiri Mkumbo nae yupo njia moja ya kuhakikisha CDM inakufa na ndio maana amepanga strategies zote za kumuingiza huyu msaliti madarakani. Cjajua magamba wamewaahidi nini kwa sababu ni kitu wanachokifanya kinatuuma sana sisi wanachama wa kawaida wa CHADEMA.

Sent from my BlackBerry 9700
 
I like this......
Mkuu aliyepo anaamini kwamba ameshamsambaratisha tunayemtaka na hivyo kwa sasa amebweteka na hiyo inatupatia sisi fursa kuendelea kuimarisha mtandao wetu.
 
M2 kipato chake kiko hoi. Huyu mbona atafahamika haraka sana?

Mkakati huu ulikuwa kwa maslahi ya nani? wanachadema? au Watanzania au watu wachache wenye tamaa ya uongozi?

Hata hivyo kuna mambo mengine yanahitaji kufanyiwa kazi kama yataonekana kuwa ya ukweli ndani ya mkakati huu.
 
"Njia haramu za kubaki madarakani. Ili kuhakikisha wakuu wanabaki madarakani, wameanzisha vikundi vikundi ndani ya taasisi yetu. Siku hizi ni rahisi sana kuambiwa kwenye taasisi yetu eti huyu ni wa boss na huyu ni wa dogo. Na wale walio wa boss kwa kuwa boss ndo anashikilia raslimali za taasisi anatumia mfumo haramu kuwaneemesha watu wake kwa kutumia raslimali za taasisi na kuwakandamiza wote wanaoonekana wanapishana naye kimtazamo. Jambo hili limewaibua wachumia tumbo, wapenda madaraka, na vibaraka lukuki wanaokwenda kujipendekeza kwa wakuu wa taasisi kwa malengo ya kujinufaisha binafsi. Katika kufanya hivyo vibaraka hao wamekuwa wakiwaendea wakuu wa taasisi na kuwajaza maneno mabaya dhidi ya viongozi wenzao na kuzidi kuwafarakanisha viongozi wa juu."

Mfano - Ben Saanane, Yericko Nyerere...
 
Mwigamba ndiyo master ktk hili jamaa mbaya ktk ushushu, kawamaliza mabosi wake MM na M 1.jamaa kaibuka hero aisee.
 
"Kuna mchezo umeanzishwa na wakuu wa taasisi unaitwa ulinzi wa chama uliogawanyika katika makundi mawili yaani visible na invisible. Visible ni ule unaoonekana ambao uko chini ya kikosi chetu chekundu ambacho kinajulikana kwa kila mtu lakini invisible wanajulikana kwa mkuu wa taasisi na mtendaji mkuu peke yake. Wanafanya kazi kwa maelekezo ya wakubwa hao wawili na hawajulikani kwa viongozi wengine wa juu. Ni hawa hawa ambao wanatumika vibaya pale wanapoleta taarifa za kiintelijensia ambazo zinawahusisha viongozi wasiopendwa na wakuu na usaliti dhidi ya taasisi. Hakuna kamati maalum inayowathibitisha maaintelijensia hao bali wakuu wenyewe wanawachukua wanaowataka. Ni katika mfumo huu wa kipuuzi mida eight amekuwa akitumika vibaya kwa kumshambulia mtendaji mkuu msaidizi hadharani kwa kutumia mitandao ya kijamii na wakuu wanafurahia na kumlipa pesa."

Unamjua huyu?

Ukweli mtupu.

Cc FaizaFoxy Ritz sixgates
 
Last edited by a moderator:
Dr. Slaa mnafiki sana. Yeye ndio mchochezi wa vurugu zote hizi lakini leo anajifanya kamuachia Tundu Lissu ndio atoe taarifa kwa waandishi.

Dr. Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
Tehe tehe tehe.

Mmepagawa.

Mlidhani chadema inaweza kuongozwa kwa maelekezo kutoka lumumba. You cant be serious!
 
May our good Lord bless GODBLESS J. Lema

Mkakati huu hautatakiwa kupatikana kwenye komputa zaidi ya tatu yaani ya mchapaji ambaye ni M3, ya M3 na ya MK mwenyewe. Hata hivyo email zitakazotumika kusafirisha mkakati huu kutoka kwa M3 kwenda kwa M1 hadi kwa MK hazitakuwa zile za kawaida za hao watu bali mpya kabisa zilizofunguliwa kwa makusudi haya tu na kwa majina fictitious. Aidha kila atakayekuwa na mkakati huu kwenye computer yake anatakiwa kuliwekea file hilo password ili hata mtu wa karibu naye anayeweza kufungua computer yake asiweze kulifungua file hilo. Pia email address hazitatolewa kwa sms bali kwa kupiga na kuambiana spelling za address.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom