Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani CCM imemfunga maisha Mzee Abood Jumbe?alidai nini?Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
HAPANA. Demokrasia ni kupata madaraka kwa njia halali zilizoainishwa na katiba husika. Sio kinyume chake.Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Kwani CCM imemfunga maisha Mzee Abood Jumbe?alidai nini?
Duh movie hii kali, chadema ilipona mwaka huu haswa baada ya siku kumi na nne nahama dsm
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Mkuu huna ujanja wa Kuhama DSM wewe kwasababu kula yako inategemea Lumumba labda uhamie Dodoma pale ChamwinoDuh movie hii kali, chadema ilipona mwaka huu haswa baada ya siku kumi na nne nahama dsm
Duh movie hii kali, chadema ilipona mwaka huu haswa baada ya siku kumi na nne nahama dsm
Mkuu unanipasua mbavu.Nafurahi sana endeleeni kuvurugana,sisi tunatia kuni kwenye mafiga tu,ukweli ni CDM wa kanda.
Bora tu urudi mkoani kwako maana tangu uamalize chuo, ajira imekuwa ngumu huku dsm, rudi kajiajili katika kilimo kwanza.Duh movie hii kali, chadema ilipona mwaka huu haswa baada ya siku kumi na nne nahama dsm
Mkuu umesahau na UDP ya Cheyo pamoja na DP ya Mtikila tokea nimezaliwa wote hao walikuwa ni wenyeviti wa vyama vyao lakini CDM tokea imeanza nimesikia mzee Mtei, Bob Makani na sasa Mbowe sasa ni wapi penye demokrasia?Hujaona kwa kuwa Macho yako hayaoni. Kitila Mkumbo alikiri kuwa alifanya kosa na aliomba kujiuzulu lakini hakukubaliwa na uongozi.
Wewe unapodai kuwa hujaona,kwani ungeona ungefanya nini?
Kwanini mnangangana CDM kifanye uchaguzi wa Mwenyekiti?
Niambie ni lini CCM iliwahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama Taifa zaidi ya kurithishana??
Mngeanza nyie kuonyesha Demokrasia halafu ndio mkimbilie Cdm. Kuna vyama tangu vianzishwe havijawahi kufanya uchaguzi wala kubadilisha viongozi km TLP,CUF nk. Je hamvioni mnaiona tu CDM!?
CHADEMA hakiwezi kuchaguliwa viongozi na ninyi CCM. mlizoea kuuwa vyama vya upinzani kwa kuwanunua viongozi wake wakuu ila kwa CDM mmeshindwa kwa kuwa Mbowe na Dr Slaa hawana njaa ndio maana mnadhani njia ya kufanikisha malengo yenu ni kuwaondoa. Poleni sana.