Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa


Very Good.....
 
We sixgates anza kupaki kenge wewe.
Mlizoea kuburuza vyama vya upinzani kama CUF, TLP ,NCCR hapa ni ngoma nzita anza kupaki ---- wewe.
 
Najua tu ,hatatoka ktk kanda yao,ni kuadhibu kila wanao tofautiana kifra na kimtazamo,kweli hii ni kampuni ya Familia.
 

Tena hata muda wa uchaguzi wenyewe haujafika na Mbowe hajawahi kusema popote kuwa atagombea tena. Hapa hofu yao ni huu uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015 kama unafika Chadema ikiwa na viongozi wakuu wasio HONGEKA.
 
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Nitakuuliza swali dogo, wewe ni mtu unayechukia CHADEMA, kama hatua hiyo ya Mkumbo inaimarisha chama kwa nini unamuunga mkono?
 
We sixgates anza kupaki kenge wewe.
Mlizoea kuburuza vyama vya upinzani kama CUF, TLP ,NCCR hapa ni ngoma nzita anza kupaki ---- wewe.

Mumeshaa legea nyinyii !! mumekaa mkao wa kuliwa."kila mukiguswa mdebwedo tu"Mumebana mumeachia,na sisi tunachochea kuni kwenye mafiga tu.kanda yenu tu ndio muna akili??!! ukanda noma!!.
 
MAGAMBA YAMESHIKWA PABAYA,YANARUKA NA KUKANYAGANA ahaaa tunacheka.(juma nature)
 
hapana. Demokrasia ni kupata madaraka kwa njia halali zilizoainishwa na katiba husika. Sio kinyume chake.
huo ulikuwa ni mkakati wa ushindi,pindi uchaguzi ukiitishwa.mbona nyie ni vilaza sana,au uelewa wenu upo deep kwenye kijiko?
 

Kugombea ubunge kwenye kura za maoni ndani ya chama ni kitu kingine, kwasababu hayuko mwenyewe. Wapo makamanda kibao akiwepo John Heche.

Hapa tunataka M2 ajisalimishe mwenyewe kabla hajatolewa kama nyoka
 
Waraka wa kinakitila sio wa kuigawa chadema ni wa mabadiliko ya uongozi wa juu wasio na sifa ya kuwa viongozi wa juu.
 
Nitakuuliza swali dogo, wewe ni mtu unayechukia CHADEMA, kama hatua hiyo ya Mkumbo inaimarisha chama kwa nini unamuunga mkono?

Huo ni full unafiki tuu. Eti adui anachukizwa na kuporomoka kwako na eti anajifanya kukuelekeza njia sahihi za wewe kuwa imara.
Hili jambo liko wazi kuwa maamuzi yaliyofanywa ni pigo takatifu kwa CCM na wamebaki kuweweseka bila kificho.
 

Well said mkuu.
 
Kuna watu wanawatetea ZZK na Mkumbo kwa nguvu zao zote,lakini watambue kuwa Chama chochote kinaongozwa kawa kanuni taratibu mbalimbali.Tunajifunza mfano Marekan(ni bora kujifunza mazuri ingwa si muhimu kujifunza kila kitu kutoka huko)wakati wa ucahaguzi wagombea wa U seneta,Uraisi usigana mpaka kutoleana matusi,akishapatikana mshindi tu wanamweshimu na wanampa Support,na kila mtu anamweshimu rais huyu hata kama ana mapungufu.Vingozi wa juu wa Chadema si malaika,wana mapungufu mengi lakini nafikiri chama kikubwa kama Chadema kina utaratibu wa kurekebishana.Mkumbo na wenzake kama wanaona kuwa ule waraka hauna dosari,mbona walijibatiza majina ya bandia?mbona huyo MM2 hawataki kumtaja?Ingawaje jana wamounyesha ukomavu wakujieleza kimsimamo,lakin bado CC ilichukua uamuzi uliyo sahihi zaid,na vijana hao wanapashwa kujifunza kua uvumivu ndiyo msingi wa mafanikio.
 
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
waraka huo ni mzuri tu kama mikakati ya kundi kuchukua uongoz nadni ya chama, ila walinasa mawasiliano yao kuhusu fund ya kutekeleza mpango wao, hilo ndo lilikuwa tatizo kubwa. waliahidiwa pesa kibao kutoka kwa maccm ili wachukue madaraka cdm. pia kutengeneza mtandao ndan ya chama ni hatari, maana mkishapata madaraka mtawafavor hata wasio na sifa kwa sababu tu walikuwa kwenye mtandao wenu.., nadhani unakumbuka awamu ya kwanza ya kikwete ivojaa watendaji mabwege tu kisa walikuwa wana mtandao...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…