negotiator nodegi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 403
- 127
g. J. Lema daima pongezi atapata ndani ya nchi yetu.
Ni wale mafisadi tu ndiyo wanafiki.
Wewe huchoki kufikiri, lkn kila wakati unafikiria kwenda msalani kunyaPongezi za kupiga wenzake kwa matofali? Kweli vijana wa mtei sasa akili zenu zimechoka kufikiri.
Mungi hebu nisaidie kumuuliza Godbless J Lema , Lile trekta wana ARUSHA tulilopewa msaada na jamaa wa uingereza liko wapi? eti LiverpoolFC wewe unajua lilipo?
kwa taarifa yenu zitto anamwogopa kama simba!!!inasemekana alivyonyanganywa ubunge zitto ni mmoja kati wanacdm ambao hawakuhuzunika!!!!lema ni kiona mbali na mzalendo wa kweli.alikataa kununuliwa na mafisadi mjue.
Mi naamini wakumshukuru ni Mwigamba, nadhani yaliyotokea ni kwa ridhaa ya huyu bwana. Lile zengwe ni la kuwaingiza mkenge zito na mkumbo na M2
Mi naamini wakumshukuru ni Mwigamba, nadhani yaliyotokea ni kwa ridhaa ya huyu bwana. Lile zengwe ni la kuwaingiza mkenge zito na mkumbo na M2
Kumnyang'anya ubunge Lema ulikuwa mpango wa JK na ZITTO ni swahiba wa JK!
Pongezi za kupiga wenzake kwa matofali? Kweli vijana wa mtei sasa akili zenu zimechoka kufikiri.
Anamtishia nani?
Anamtishia nani?
Mbinu za CCM zote za kudhoofisha CHADEMA zimeshindikana, hii ndio ilikuwa karata yao ya mwisho, kumtumia Zitto na wafuasi wake akina Mkumbo ili kugawa CHADEMA, na ikiwezekana kumuweka huyo mamluki wao Zitto kuwa mwenyekiti, nayo imeshindikana.Huo ni full unafiki tuu. Eti adui anachukizwa na kuporomoka kwako na eti anajifanya kukuelekeza njia sahihi za wewe kuwa imara.
Hili jambo liko wazi kuwa maamuzi yaliyofanywa ni pigo takatifu kwa CCM na wamebaki kuweweseka bila kificho.
Uenezaji wa chuki za ukabila Tanzania hautafanikiwa, nakuapia.Wachaga waliopo Chadema ni waaminifu sana. rekodi zangu zinaonyesha hakuna mchaga aliyewahi kufukuzwa Chadema.
Hayanihusu? pata ujumbe mdogo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM:
"Mtakwenda mtarudi mimi ndio Rais wenu hakuna mwingine mtakae mkimbilia"
Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM.