Watu wawili ni 4M, sijui kama walitaka kila mwezi au la? alafu ukiangalia pyramid ya usaliti ilivyotegemea kutanuka kuelekea Kanda,Mikoa na Wilaya yooooote hayo yangewezekana kwa niaba ya hisani ya Zitto??Na mimi nasubiri majibu yao kwa upole.
Alafu
Hii issue inaendelea kumvua Zitto nguo juu ya Aadilifu wake? Its obvious angetumia uchair wake PAC kuwablackmail wakuregenzi wa Mashirika yetu ya UMA kuwapatia jamaa kazi? au la sijui angefanyaje?
Kwani Zitto anamiliki Kampuni yoyote?
Katika Waraka uliosababisha mkawa fired, ambao Kitika amekiri kwamba anaufahamu na alishiriki kuutengeneza, kuna ombi lilitolewa mle ndani muwaweshe wenzenu wawili katika swala zima la mshiko, kwa kuanzia wakatoa ombi la kupata japo M Mbilimbili japo waweze kuacha kitu nyumbani.
Na pia ikajitokeza issue ya kuhakikisha wanasaidiwa kupaja ajira sehemu sehemu,
Kwa sababu katika waraka husika, mmejiinua na kujitanua kwamba nyie ni watu wa kusimamia strategy mpaka zifanikiwe kwa ufasaha tofauti na uongozi wa sasa wa CHADEMA ambao unaruka ruka kutoka stragegy moja kwenda nyingine kwa sababu ya upungufu wa elimu.
Swali langu ni moja tu.
Mmekwisha wawezesha jamaa...???
acha kutumika_siku ukijua ukweli utaumia sana
Mtumishi wa umma unaanza kuwatafutia maswahiba kazi ya kufanya.Obvious baadae lazima ulipe fadhila tu tena kama ndio umefika magogoni ndio watu wanapewa hata migodi!!
Waache waloulizwa wajibu swali.
Hahahahahahahhhahahahahahahha Sangarara haya ni mambo binafsi...
Alafu anajitanua eti, kukitonya Chama chake juu ya issue ya auditing ni unethical, mi nataka kujua angewatafutiaje kazi??
sababu mi mwenye kuwasaidia jamaa zangu huwa nalazimisha kuover ride mamlaka za watu? Sijui yeye angefanyaje? ni vyema akaja hapa au aka prox Mwampamba kuja kushare experience? hasa the best ethical way to do it.
Anamtishia nani?
alafu anajitanua eti, kukitonya chama chake juu ya issue ya auditing ni unethical, mi nataka kujua angewatafutiaje kazi??
Sababu mi mwenye kuwasaidia jamaa zangu huwa nalazimisha kuover ride mamlaka za watu? Sijui yeye angefanyaje? Ni vyema akaja hapa au aka prox mwampamba kuja kushare experience? Hasa the best ethical way to do it.