Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Na mimi nasubiri majibu yao kwa upole.
Watu wawili ni 4M, sijui kama walitaka kila mwezi au la? alafu ukiangalia pyramid ya usaliti ilivyotegemea kutanuka kuelekea Kanda,Mikoa na Wilaya yooooote hayo yangewezekana kwa niaba ya hisani ya Zitto??
 
Alafu
Hii issue inaendelea kumvua Zitto nguo juu ya Aadilifu wake? Its obvious angetumia uchair wake PAC kuwablackmail wakuregenzi wa Mashirika yetu ya UMA kuwapatia jamaa kazi? au la sijui angefanyaje?

Kwani Zitto anamiliki Kampuni yoyote?

Mtumishi wa umma unaanza kuwatafutia maswahiba kazi ya kufanya.Obvious baadae lazima ulipe fadhila tu tena kama ndio umefika magogoni ndio watu wanapewa hata migodi!!
 
Katika Waraka uliosababisha mkawa fired, ambao Kitika amekiri kwamba anaufahamu na alishiriki kuutengeneza, kuna ombi lilitolewa mle ndani muwaweshe wenzenu wawili katika swala zima la mshiko, kwa kuanzia wakatoa ombi la kupata japo M Mbilimbili japo waweze kuacha kitu nyumbani.

Na pia ikajitokeza issue ya kuhakikisha wanasaidiwa kupaja ajira sehemu sehemu,

Kwa sababu katika waraka husika, mmejiinua na kujitanua kwamba nyie ni watu wa kusimamia strategy mpaka zifanikiwe kwa ufasaha tofauti na uongozi wa sasa wa CHADEMA ambao unaruka ruka kutoka stragegy moja kwenda nyingine kwa sababu ya upungufu wa elimu.

Swali langu ni moja tu.

Mmekwisha wawezesha jamaa...???

Hahahahahahahhhahahahahahahha Sangarara haya ni mambo binafsi...
 
Ni kweli mheshimiwa Kigoma ndio waliombeba na kuibeba Chadema hapo mkoani lakini kwa uongozi huu wa kiimla wa kuendesha chama kama mali ya mtu binafsi, utaratibu huu wa kutoruhusu watu kutoa maoni na mitazamo yao, utaratibu huu wa kuzuia demokrasia-Chadema kimejimaliza.Lakini tujiulize kwa kina, isije ikawa wajumbe hawa waliotoa maamuzi ya kukidhoofisha chama wanatumiwa na CCM.Tusishangae kesho au keshokutwa hata Slaa naye akajitoa chama kikabaki na kina Mbowe, Lema, Mtei, Kimario, Swai, Sawaki,Mrema n.k. Ama kweli yaliyosemwa sasa yanaonekana ni kweli ,hiki chama ni maalum kwa watu maalum kwa malengo maalum hakina uhusiano na maendeleo ya wananchi. CCM SHANGILIENI MKALE BATA MAANA CHAMA KILICHOANZA KUWA NA NGUVU SASA CHALI.Kitapona kwa miujiza tu
 
Mtumishi wa umma unaanza kuwatafutia maswahiba kazi ya kufanya.Obvious baadae lazima ulipe fadhila tu tena kama ndio umefika magogoni ndio watu wanapewa hata migodi!!

Alafu anajitanua eti, kukitonya Chama chake juu ya issue ya auditing ni unethical, mi nataka kujua angewatafutiaje kazi??
sababu mi mwenye kuwasaidia jamaa zangu huwa nalazimisha kuover ride mamlaka za watu? Sijui yeye angefanyaje? ni vyema akaja hapa au aka prox Mwampamba kuja kushare experience? hasa the best ethical way to do it.
 
Swali bora sana mkuu wangu lakini hii thread itajaa bila jibu.Siasa za vijana bana!
 
Anamtishia nani?

Wewe fuatilia tu...
Mwigamba alitoka 'nduki' mbele ya Lema...
Lema ameigaragaza serikali katika kesi zote alizozushiwa...
Zitto amepigwa 'knock-out' na Lema....
Mizengo Pinda hana hamu na Lema, aliumbuliwa 'live' pale alipodanganya bunge. Mpaka leo 'bibi' yenu spika 'amekalia' ushahidi wa Lema wa kumbana Pinda.
Chezea Lema wewe....!!
Huyo ndio Godbless (Aliyebarikiwa na Mungu) Lema..!!
Upo hapo....
 
alafu anajitanua eti, kukitonya chama chake juu ya issue ya auditing ni unethical, mi nataka kujua angewatafutiaje kazi??
Sababu mi mwenye kuwasaidia jamaa zangu huwa nalazimisha kuover ride mamlaka za watu? Sijui yeye angefanyaje? Ni vyema akaja hapa au aka prox mwampamba kuja kushare experience? Hasa the best ethical way to do it.

cc timing
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenyewe mnaomsifia sio riziki. Tumesha jua anapenda nini zaidi.
 
Katika Waraka uliosababisha mkawa fired, ambao Kitika amekiri kwamba anaufahamu na alishiriki kuutengeneza, kuna ombi lilitolewa mle ndani muwaweshe wenzenu wawili katika swala zima la mshiko, kwa kuanzia wakatoa ombi la kupata japo M Mbilimbili japo waweze kuacha kitu nyumbani.

Na pia ikajitokeza issue ya kuhakikisha wanasaidiwa kupaja ajira sehemu sehemu,

Kwa sababu katika waraka husika, mmejiinua na kujitanua kwamba nyie ni watu wa kusimamia strategy mpaka zifanikiwe kwa ufasaha tofauti na uongozi wa sasa wa CHADEMA ambao unaruka ruka kutoka stragegy moja kwenda nyingine kwa sababu ya upungufu wa elimu.

Swali langu ni moja tu.

Mmekwisha wawezesha jamaa...???

Kwasababu imebuma watawawezesha kweli? Halafu walisema mkakati wao utakuwa wa siri, na waraka utakuwa kwenye computa tatu yaani ya MM, M1 na M3.

Kama kweli wapo serious nini kilitokea? Jibu ni Moja tu, ni kwa sababu CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU
 
Mie kuanzia lile saga litokea pale A town nilimpa Mh,Kamanda Lema mia Kwa kuwa yeye hafanyi kitu bila ya kuwa na ushahidi hata Makinda mwenyewe anamuogopa huyu Kamanda sio Makinda tu Mizengo Peter Kayanza akimuona tu Godbless Lema anatetemeka maana ni Simba,Maccm yalimfungulia kesi ngapi na zote kashinda hebu tujiulize,Kamanda Lema hatumii mabavu anatumia akili nyingi na upelelezi uliotukuka.Viva Chadema Viva Kamanda Godbless Jonath Lema
 
Back
Top Bottom