Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Jitahidi usijizidishie matatizo ambayo tayari unayo!View attachment 123710
Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa Miaka mingapi?
...and as you have turned education as being in schools (university) focusing on a specific area of knowledge, I agree but what are your comments on those being there reading wrong books and theories!? Can not those in subject be the victims!?This is one of those dumb quotes. Degree (education) doesn't mean you know everything, but rather shows an increase in ones analytical ability, both in general terms and specifically in his area of study. But if you think more education is irrelevant then try ignorance.
View attachment 123745
CHADEMA needs more visionary & educated individuals to lead the less fortunate. The likes of Mbowe needs to step aside, they have taken the party so far. Let others with fresh ideas lead the party into the future.
chadema wasingejulikana kama wakanda,na tusingejua kuwa mbowe ni cheaf procuremant officer mwenyewe na Slaa tusingejua kama alihitaji atonywe na ZZK ili arudishe saccoss yake chadema
Hapo kwenye RED fafanua sio unaongea bila ushahidi, hutoeleweka.Leta mantiki ya kile unachosema na kukiamini.
Rejea waraka wa ushindi 2013,waraka ambao CDM wameshindwa kuukana tuhuma ambazo zimetolewa hadharani!![/QUOT
CDM imeshasema walaka original ambao umetumika kuwahukumu akina Zito bado uko CC haujatolewa so, huo unaozagaa humu JF ni Feki,So don't rely on thing that's wrong!!!!!! Ninaamini walaka unautumia ww ni feki make wenyewe haujatolewa public bado, so usishadadie mambo Mwekundu.
Bila kuzungukazunguka, kama mpango huo husingelidhibitiwa mapema, nchi hii ingelishuhudia kujirudia kwa historia ya upinzani hapa nchini. Maana, nia hasa ya mpango huo ilikuwa kuiteka chadema kwa kuweka kibaraka wao katika ngazi ya juu ya uongozi wa chama hicho kama ilivyofanyika kwa NCCR miaka mingi iliyopita. Kutokana na hayo chadema haina budi kusonga mbele na kuwavua vibaraka hao uanachama. HIZO sauti za viongozi wachache ndani ya CDM wanaoonekana kutetea hao vibaraka, ikiwa ni pamoja na Prof. Baregu hazina budi zipuuzwe. Kuna kila dalili Prof Beregu tangu ateuliwe kuwa mjumbe wa kamati ya katiba amewekwa mfukoni wa chama tawala.
Kwanza mpaka sasa hvi CHADEMA haiko na kamwe haitkuwa salama tena, mpasuko mkubwa unakuja, labda mbowe, slaa, zito na wapambe wao, wote wachie madraka, waje viongozi ambao ni neutral! Make pamoja na madhaifu ya ZZK bado kuna hoja za msingi zinazoelezea udhaifu na ufisadi wa mbowe na Slaa ndani ya chama! Bila kushughulikia haya cdm itakuwa km NCCR ya 1995! Ni suala la muda tu utaliona hili, tena ni kabla ya 2015!
Rejea waraka wa ushindi 2013,waraka ambao CDM wameshindwa kuukana tuhuma ambazo zimetolewa hadharani!![/QUOT
CDM imeshasema walaka original ambao umetumika kuwahukumu akina Zito bado uko CC haujatolewa so, huo unaozagaa humu JF ni Feki,So don't rely on thing that's wrong!!!!!! Ninaamini walaka unautumia ww ni feki make wenyewe haujatolewa public bado, so usishadadie mambo Mwekundu.
tomia akili kufikiria kwani waraka aliutunga nani?akauhariri nani?nani ni first weakness kwenye kesi hii?=mwigamba amethibitisha ndo waraka halisi tunaoujua na kuuona walichofanya akina psychiatric lissu ni spinning baada ya kuona kwenye waraka ule ZZK hana kosa lakini chama tu ndo kimeumbuka