Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Ila mbona Zito mwenyewe ni ndumi la kuwili na mtu wa fedha kuliko anaowatuhumu? Sie yeye aliyekwenda crdb Lumumba na kuondoka na briefcase ya mamilioni na hata hela nyingine akazipeleka ktk a/c ya mwanadada 1 ujermani? Zito ana machafu mengi kuliko watu wanavyomsikia!
 
Kusoma hapa inahitaji ule ugali dona.wee Zittokabwe njoo usome huku
 
Last edited by a moderator:
kwa vijana wenye upeo ulio mzuri walitakiwa wakae nawaanze kuyatafakali haya maneno yaliyomo humu kwenye walaka je nikweli matendo haya mbowe na slaa wanayafanya? hii ndio akili ya kijana mwelevu siyo kusema tu. kitila na mwigamba walichokiandika niukweli mtupu naukweli huu huwezi kuujua endapo huta weka ushabiki wa umbowe na uzito pembeni.

cdm na bavicha huu walaka utawasaidieni sana kujua mapungufu ya viongozi wenu wengi wenu hamko jikoni kunakopikwa chakula mpo nnje ya nyumba kwahiyo hamuwezi kuujuwa ukweli wa jikoni.jalibuni kushika mambo yaliyonenwa kwenye huu waraka na waulizeni viongozi wenu je haya yaliyo nenwa nikweli au uwongo?

muwaulize vizuri msijali haya maneno kayanena nani.au wamlengo gani angalieni alichokinena itawasaidia kuujuwa ukweli juu ya viongozi wenu wa kitaifa wapo kwa maslahi yakwao au kwa chama chenu au kwa maslahi ya taifa lote?
 
Back
Top Bottom