Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Kinachoshangaza ni nyinyi kujipa mamlaka pekee ya kuita wenzenu wanaoenda tofauti na nyie wasaliti......huku mkijipa upofu kwa yale mabaya yafanywayo na mnawaopenda kuwa ni mazuri na ni haki wao kufanya hivyo......Hakuna mtu mbaya aliyeharibu upinzani kama Mbowe.....time will tell
 
tunayataka mabadiliko no matter what! CCM kwangu na ndugu zangu wote wanaonisikiliza tumeikataa CCM na tuna sababu za kufanya hivyo!
 
Mfamaji tulia ubugie vikonbe..si mmeuza chama kwa vipande ya fedha? Na bado..mwenye chair ndo mchawi wenu
 
Kinachoshangaza ni nyinyi kujipa mamlaka pekee ya kuita wenzenu wanaoenda tofauti na nyie wasaliti......huku mkijipa upofu kwa yale mabaya yafanywayo na mnawaopenda kuwa ni mazuri na ni haki wao kufanya hivyo......Hakuna mtu mbaya aliyeharibu upinzani kama Mbowe.....time will tell

Ukishafika hightable ya Chadema jiandae kuitwa msaliti.
Ndo siasa ya chadema hizo.
 
Mwaka 2013 kuliibuka waraka wa Mabadiliko ndani ya Chadema uliopelekea Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na wenzake kufukuzwa Chadema.

Waraka huo ulikuwa na waasisi waliojulikana kwa vifupisho vya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5.

Nakumbuka mlituambia mnawafahamu wote mkatutajia wahusika wote isipokuwa MM2, mkasema mkimtaja chama kitapasuka kwa vile alikuwa ni kiongozi mkubwa makao makuu.

Kuna tetesi zimeanza kusikika kuwa MM2 alikuwa ni Dr. Slaa.

Tunaomba sasa na nafikiri ni muda mwafaka kututajia MM2 ni nani kama bado yuko makao makuu ya chama au ameshatoka.

Natanguliza shukrani.

Cc. Makene.
 
Baada ya mambo kudorora sasa Mbowe naye karibu anaitwa msaliti
Ha ha ha.
Chadema bana
 
Msaliti mkuu wa Upinzani ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa Chadema.
Mtakuja kukumbuka haya maneno
 
Mwaka 2013 kuliibuka waraka wa Mabadiliko ndani ya Chadema uliopelekea Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na wenzake kufukuzwa Chadema.

Waraka huo ulikuwa na waasisi waliojulikana kwa vifupisho vya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5.

Nakumbuka mlituambia mnawafahamu wote mkatutajia wahusika wote isipokuwa MM2, mkasema mkimtaja chama kitapasuka kwa vile alikuwa ni kiongozi mkubwa makao makuu.

Kuna tetesi zimeanza kusikika kuwa MM2 alikuwa ni Dr. Slaa.

Tunaomba sasa na nafikiri ni muda mwafaka kututajia MM2 ni nani kama bado yuko makao makuu ya chama au ameshatoka.

Natanguliza shukrani.

Cc. Makene.

Ngoja tuwasaidie kuchambua.Kazi ya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5 ilikuwa moja tu kuibomoa CHADEMA kwa maslahi yao ya kifedha..Kumjua M2 ni nani angalia je amechangia kiasi gani kuibomoa CHADEMA kwa asilimia ngapi ndogo au kubwa?.

M2 ni MBOWE ambaye kaibomoa hoja ya CHADEMA ya kupambana na Ufiosadi kwa kumkaribisha Fisadi kuwa mgombea uraisi na kusababisha CHADEMA kuvunjika kipindi cha kuelekea uchaguzi .Huyo ndie M2 mwenyewe .Yuko tayari CHADEMA ife kwa kupokea rushwa.Slaa hakuwa tayari CHADEMA ife.Muuaji wa CHADEMA ni M2 ambaye ni Mbowe.
 
Sijakuelewa Mbowe anaibomoaje Chadema mbona ni Slaa anayesema chagua CCM.
 
kwani hao MM wengine walijitaja wenyewe au walitajwa?

sasa kwa nini mnamtaka MM2 ajitaje mwenyewe? itakuwa si kumtendea haki.
 
Huyu pi.mbi hajijui wala kujitambua ngoja wasemeeeee mwisho 25/10/2015 kinanuka afu wabaki na mzee wa mihogo
 
Mwaka 2013 kuliibuka waraka wa Mabadiliko ndani ya Chadema uliopelekea Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na wenzake kufukuzwa Chadema.

Waraka huo ulikuwa na waasisi waliojulikana kwa vifupisho vya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5.

Nakumbuka mlituambia mnawafahamu wote mkatutajia wahusika wote isipokuwa MM2, mkasema mkimtaja chama kitapasuka kwa vile alikuwa ni kiongozi mkubwa makao makuu.

Kuna tetesi zimeanza kusikika kuwa MM2 alikuwa ni Dr. Slaa.

Tunaomba sasa na nafikiri ni muda mwafaka kututajia MM2 ni nani kama bado yuko makao makuu ya chama au ameshatoka.

Natanguliza shukrani.

Cc. Makene.

Aliyekuwa MM2 alikwishakimbia mwenyewe baada ya kuona fagio la chuma halipo mbali (Mohamed Said Arfi).
 
Mwaka 2013 kuliibuka waraka wa Mabadiliko ndani ya Chadema uliopelekea Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na wenzake kufukuzwa Chadema.

Waraka huo ulikuwa na waasisi waliojulikana kwa vifupisho vya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5.

Nakumbuka mlituambia mnawafahamu wote mkatutajia wahusika wote isipokuwa MM2, mkasema mkimtaja chama kitapasuka kwa vile alikuwa ni kiongozi mkubwa makao makuu.

Kuna tetesi zimeanza kusikika kuwa MM2 alikuwa ni Dr. Slaa.

Tunaomba sasa na nafikiri ni muda mwafaka kututajia MM2 ni nani kama bado yuko makao makuu ya chama au ameshatoka.

Natanguliza shukrani.

Cc. Makene.

Ili itusaidie nini? hivi sasa mambo yote ni uchaguzi basi. Mambo ya majungu na kutaftana hayana tija kwa sasa. Tena mambo yenyewe ya kuhusu Zito na genge lake ambao sasa si wanachama wa chadema ! Kama kumfahamu M2 Kwako ni mhimu it is very simple, muulize Zito au Mwigamba.
 
Back
Top Bottom