Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuwasaidie kuchambua.Kazi ya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5 ilikuwa moja tu kuibomoa CHADEMA kwa maslahi yao ya kifedha..Kumjua M2 ni nani angalia je amechangia kiasi gani kuibomoa CHADEMA kwa asilimia ngapi ndogo au kubwa?.
M2 ni MBOWE ambaye kaibomoa hoja ya CHADEMA ya kupambana na Ufiosadi kwa kumkaribisha Fisadi kuwa mgombea uraisi na kusababisha CHADEMA kuvunjika kipindi cha kuelekea uchaguzi .Huyo ndie M2 mwenyewe .Yuko tayari CHADEMA ife kwa kupokea rushwa.Slaa hakuwa tayari CHADEMA ife.Muuaji wa CHADEMA ni M2 ambaye ni Mbowe.
Mwaka 2013 kuliibuka waraka wa Mabadiliko ndani ya Chadema uliopelekea Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na wenzake kufukuzwa Chadema.
Waraka huo ulikuwa na waasisi waliojulikana kwa vifupisho vya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5.
Nakumbuka mlituambia mnawafahamu wote mkatutajia wahusika wote isipokuwa MM2, mkasema mkimtaja chama kitapasuka kwa vile alikuwa ni kiongozi mkubwa makao makuu.
Kuna tetesi zimeanza kusikika kuwa MM2 alikuwa ni Dr. Slaa.
Tunaomba sasa na nafikiri ni muda mwafaka kututajia MM2 ni nani kama bado yuko makao makuu ya chama au ameshatoka.
Natanguliza shukrani.
Cc. Makene.
hapa Kazi tuuu zingine ni mbwembwe
Wajenzi wa mnara wa babeli!!Hii nyuzi INA maana gani wakati huu
Jamaa walipotea na walikoenda hawakuweza kuwa imara na chama chaoWaraka unaoishi
"Those who cannot remember the past are condemned to repeat" :-George SantayanaHii nyuzi INA maana gani wakati huu
Asipewe au asiendelee kuwa Mwenyekiti."Those who cannot remember the past are condemned to repeat" :-George Santayana
"Wale ambao wanasahau yaliyopita kuna hatari kubwa ya kuyarejea yale yale":-George Santayana
Mkuu huoni kwamba kwenye mitandao kuna mikakati na proaganda za kumchafua Mbowe asipewe Uenyekiti wa Chadema
Ina maana CHADEMA hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hicho chama isipokuwa Mbowe tu? Ifikie wakati hiyo demokrasia wanayoihubiri, waiishi!"Those who cannot remember the past are condemned to repeat" :-George Santayana
"Wale ambao wanasahau yaliyopita kuna hatari kubwa ya kuyarejea yale yale":-George Santayana
Mkuu huoni kwamba kwenye mitandao kuna mikakati na proaganda za kumchafua Mbowe asipewe Uenyekiti wa Chadema
Hahaha hivi bado Mwenyekiti yuleyule yupo?Huu ndio Waraka/Mkakati uliopelekea Kitila na Zitto kupoteza uanachama wao ndani ya CHADEMA
Demokrasia ni wengi wape kwanini husemi ifike wakati CCM nayo ipishe chama kingine.Ina maana CHADEMA hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hicho chama isipokuwa Mbowe tu? Ifikie wakati hiyo demokrasia wanayoihubiri, waiishi!