Hata mimi nashangaa CCM bado iko madarakani tangu nizaliwe.Hahaha hivi bado Mwenyekiti yuleyule yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nashangaa CCM bado iko madarakani tangu nizaliwe.Hahaha hivi bado Mwenyekiti yuleyule yupo?
Hahaha Chadema wana katiba yao,katiba ndio inayoongoza vipi wamchague mwenyekiti wao,Unataka kunambia Tanzania hakuna Chama chengine kinachoweza kuongoza,mbona zaidi ya miaka 50 sasa Tanzania inaongozwa na chama cha CCM,Kwasababu Katiba ya Tanzania inaruhusuIna maana CHADEMA hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hicho chama isipokuwa Mbowe tu? Ifikie wakati hiyo demokrasia wanayoihubiri, waiishi!
Mwambie uongozi kupokezana vijiti kama ameshindwa kuongoza ndani kwake kwa demokrasia hasiwasumbue wengine.Hata mimi nashangaa CCM bado iko madarakani tangu nizaliwe.
Kura ziamueDemokrasia ni wengi wape kwanini husemi ifike wakati CCM nayo ipishe chama kingine.
halafu usajili uliofanyika baadae sasa ukawa ni pure members from ccmWewe endelea kulalama lakini mizizi ya CCM ndani ya Chadema imekatwa ingawaje bado mmoja lakini huyo naye atajulikana muda si mrefu. Na kazi yote hii ilikuwa inafanyika kwa kutumia bajeti ya pesa za walipa kodi zilizokuwa zinatumwa ujerumani na ikulu na baadae kumrudia Zitto. No wonder Wassira alikuwa anatamba kwamba CDM itakufa kabla ya 2015. Wakajipange upya.
Tiba
Vyama vyote vinaweka wagombea.Hahaha Chadema wana katiba yao,katiba ndio inayoongoza vipi wamchague mwenyekiti wao,Unataka kunambia Tanzania hakuna Chama chengine kinachoweza kuongoza,mbona zaidi ya miaka 50 sasa Tanzania inaongozwa na chama cha CCM,Kwasababu Katiba ya Tanzania inaruhusu
Ifikie wakati hiyo demokrasia tunayoihubiri, tuihisi 😉
Hivi CCM itaruhusu chama chengine kitawale TanzaniaVyama vyote vinaweka wagombea.
Hivi kwenye uwenyekiti Mbowe anaruhusu agombee na mwingine?
aiseee! ndie aliye kamilissha dili la ngoyai nn?Msaliti mkuu wa Upinzani ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa Chadema.
Mtakuja kukumbuka haya maneno
Kwani Mbowe hakuchaguliwa kwa kura.Kura ziamue
Kwa nini unauliza hivo Mkuu?Hivi CCM itaruhusu chama chengine kitawale Tanzania
Kwahiyo katiba ya chadema hairuhusu wanachama wengine kugombea nafasi ya uenyekiti isipokuwa mwenyekiti aliyeko madarakani tu?Hahaha Chadema wana katiba yao,katiba ndio inayoongoza vipi wamchague mwenyekiti wao,Unataka kunambia Tanzania hakuna Chama chengine kinachoweza kuongoza,mbona zaidi ya miaka 50 sasa Tanzania inaongozwa na chama cha CCM,Kwasababu Katiba ya Tanzania inaruhusu
Ifikie wakati hiyo demokrasia tunayoihubiri, tuihisi 😉
Kwenye chaguzi vyama vyote hupewa nafasi ya kugombea na kwa bahati nzuri au mbaya CCM ndio hupata ridhaa ya wananchi. Ni vyema hata kwenye chaguzi za vyama wanachama wapewe nafasi ya kuamua nani awaongoze na sio mtu mmoja kukaa madarakani miaka nenda rudi. Ndio maana upinzani Tanzania ni jina tuDemokrasia ni wengi wape kwanini husemi ifike wakati CCM nayo ipishe chama kingine.
Kama katiba yao inasema hivyo poa tu,wewe inakuuma nini?Kwahiyo katiba ya chadema hairuhusu wanachama wengine kugombea nafasi ya uenyekiti isipokuwa mwenyekiti aliyeko madarakani tu?
Ccm inashinda baada ya kushindana na vyama pinzani. Kitu ambacho hatukioni kwenye chaguzi za nafasi ya mwenyekiti katika vyama pinzani
Dunia waliyaona yaliyotokea 2015,idadi za watu walihudhuri mikutano ya kampeni za CCM na za kampeni za Chadema zilioneka,..CCM haijashinda ule uchaguzi,na ndio maana mpaka hii leo utawala wa CCM haujiamini.,CCM inaweka misengwe kibao katika vyama vya upinzani hii yote ni ishara tosha kuwa utawala huu haujiaminiKwa nini unauliza hivo Mkuu?
Ni kwa sababu CCM ilisimamisha wagombea wawili wa urais 2015?
Au kwa kuwa CCM walimnunua Mbowe na CHADEMA yote na kutuletea mgombea wao wa pili kwetu?