Aisee kama hivi ZZK hawawezi kumng'oa CDM sema kuna uchocheaji kutoa southern block si vibaya kuzungumzia katiba ya chama katika suala la uchaguzi wa viongozi,na sio vibaya kugombea nafasi kwa mbinu anazozijua yeye ndani ya chama so long as tena ALIAHIDIWA kwa staili hii DJ MBOWE ndo tatizo ndani ya chama na amini usiamini CDM itakufa kwa staili hii ya kung'ang'ania madaraka na HATUTAWEZA kuing'oa ccm kama tunapita kwenye mkondo wa dhambi zilezile za magamba
I conclude hakua na nia mbaya achilia mbali shutuma za kukihujumu chama
Na kama rohoni kwake ni CDM damu ipo siku tutakubali kua ukweli unapanda ngazi na ukweli unapanda lift
Ni maamuzi mabaya ya chadema ambayo wamewahi kuyafanya na ni mpango wa kukiua chama