Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

CUF ni chama makini, usikifananishe na cha kaskazini mburura we
 
Mbona unamtaja sana Kamanda Heche au kakutia kile kitu nini maana tunajua wewe nawe kwa kujipendekeza kwa watoto wa kiume hujambo!?

Halafu tuambie ni lini CCM itafanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa? Au mtaendelea tu kurithishana?
Mkuu upo sawa sawa mimi na wewe tufanye siasa za kihuni?
 
hiki chama kilitakiwa kuwa na wanachama si zaidi ya mikoa 3 walai
wamejaa wahuni watupu
 
Ni busara kusubiri ripoti rasmi ya uchunguzi na kuepuka kuwashuku watu tena kwa majina.

Nashauri timu ya uchunguzi iende mbali zaidi ya kumtafuta tu M2, lazima kuna mengine yaliyojificha chini ya zulia ni budi yafukuliwe na kushughulikiwa.


Pia nashauri CC izingatie taarifa zilizopo kuwa akina Mtela & co ndio waliokuwa hosts wa Zitto jana. That too should not be taken lightly, please. Kazi njema makamanda.
 
Duh movie hii kali, chadema ilipona mwaka huu haswa baada ya siku kumi na nne nahama dsm
mkuu angalia usije ukala matapishi yako! Huenda unaongozwa na hasira tu,hawa jamaa ni makini sana,unayohisi ni vigumu mno kutokea. Karibu kahawa kabla hujahama mji.
 
Huu ujinga ni kupambana na zitto tu au kuna kingine? Kabla ya jana mlikuwa mnaongoza moja bila lakini baada ya jana zitto anaongoza sita moja dhidi ya wapinzani wake
 
vingoeni virusi hivyo vinavyotaka kuchelewesha ukombozi wa mtanzania!!
 
hebu fikiria hii 2015
rais mbowe(slaa atatupwa bungeni)
waziri mkuu sugu
mambo ya njee afande sele
madini myika
tiss yule mchungaji mbeya
sheria tundu
afya mdee
makamo rais yule kibarashia kwenye picha ya mkutano wa kumfukuza ziti
wizara nyengine zitakuwa chini ya rais
mhh muungu atuepushe mbali na balaa na zahma hili


yaani wewe mwezi mchangaa kabisaaa,,,,watu hatufikirii kupanga safu ya baraza,,watu tunafikiria tutashindaje uchaguzi,,,,,na kubwa zaidi tunafikiria kapuya atawabaka wanawake wangapi mkesha wa mwaka mpya,,,tunafikiria kapuya atawaambukiza wangapi ukimwi,,,tunafikiria tembo wetu watabaki wangapi mwaka 2013 ikiwa watu na meli zao wanasafirisha matani ya meno ya tembooo....
 
Mkuu umesahau na UDP ya Cheyo pamoja na DP ya Mtikila tokea nimezaliwa wote hao walikuwa ni wenyeviti wa vyama vyao lakini CDM tokea imeanza nimesikia mzee Mtei, Bob Makani na sasa Mbowe sasa ni wapi penye demokrasia?

Ishu siyo Democrasia, ishu hapa ni kwamba CCM wanaamini kwamba wakifanikiwa kumtoa Dr Slaa na Mbowe basi Chadema itakuwa imekufa, nchi itakosa mtu wa kuwakosoa Mafisadi/Familia chache zinazo kula uchumi wetu
 
Hebu fikiria hii 2015
Rais mbowe(slaa atatupwa bungeni)
Waziri mkuu sugu
Mambo ya njee afande sele
Madini myika
Tiss yule mchungaji mbeya
Sheria tundu
Afya mdee
Makamo rais yule kibarashia kwenye picha ya mkutano wa kumfukuza ziti
Wizara nyengine zitakuwa chini ya rais
Mhh muungu atuepushe mbali na balaa na zahma hili

Mkiambiwa mwende shule hamtaki matokeo yake ndio haya.
 
HAPANA. Demokrasia ni kupata madaraka kwa njia halali zilizoainishwa na katiba husika. Sio kinyume chake.

Kila kitu kinakuwa na plan, na maandalizi ya kutosha. Dawa ya ushindi ni maandalizi, lazima ujue yule aliyepo ana mapungufu gani na wewe unayetaka kuingia uingie kwa mikakati ipi.
 
Inaweza kuwa kweli hii tetesi. Mwita ni rafiki wa karibu sana wa Dr. Kitira na ikumbukwe walishtakiwa pamoja katika ile issue ya mauwaji kule Iramba mwaka juzi. Pia binafsi nishawaona mala nyingi tu wawili hawa wakiwa katika harakati za kisiasa.

Pamoja na hayo hii bado ni tetesi tu.
 
Hebu fikiria hii 2015
Rais mbowe(slaa atatupwa bungeni)
Waziri mkuu sugu
Mambo ya njee afande sele
Madini myika
Tiss yule mchungaji mbeya
Sheria tundu
Afya mdee
Makamo rais yule kibarashia kwenye picha ya mkutano wa kumfukuza ziti
Wizara nyengine zitakuwa chini ya rais
Mhh muungu atuepushe mbali na balaa na zahma hili

Mambo ya Division 5 haya... Big Results Now!!!
 
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?

Dr. Kitila Mkumbo katumia elimu yake vibaya. Citation and referencing ya Obama is quite irrelevant, invalid and unreliable.
 
Last edited by a moderator:
Huwa nacheka sana na kauli zenu eti wasomi, teh teh teh.

Hamuwezi kujua maana ya "wasomi" mpaka daddy atoke madarakani au ela za sembe ziishe ndio maana mmeamua kuanzisha division 5!!!
 
Back
Top Bottom