Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Kama wazee wao wanavoamua kuchanganya siasa na dini, jk anaenda kufungua kanisa afu anaanza kuhubiri siasa, harafu hata hao watu wa dini washenzi tu, wanazinduaje makanisa kwa kuwatumia watu wa siasa, kwani hakuna wazee wa makanisa waliowahi kuyatumikia makanisa kwa uadilifu hadi wanaamua kuwatumia wana siasa?
Makanisa misikiti yote ni tools of control wapo ki maslahi zaidi
 
Mapadri Wakatoliki ndiyo walisaidia kutekeleza mauaji ya kimbari huko rwanda. Dharau mliyo ionyesha kwa serikali awamu ya sita ni kubwa sana kwanza nyie ni nani kwenye Nchi mpaka mchanganye dini na siasa?

Mkae mkijua mmekosea sana kuonyesha makucha yenu kisa Samia ni muislamu na ni mwanamke mnaona hawezi wala hafai ila huyu ndiye raisi wa wote na dini zote nyie viongozi wa dini ufalme wenu ni mbinguni Mambo ya kidunia achaneni nayo
Unamengi ya kujifunza mzee kwahiyo wewe unaona ni sawa la isa mkataba upite ..........
 
Wale waliodhani kwamba habari za Waraka wa TEC zimemalizika, baada ya juzi kusomwa makanisani, Wajipange upya.

Taarifa kutoka ndani ya Kanisa Katoliki zinaeleza kwamba, imeagizwa Waraka huo urudiwe kusomwa kwa wiki 6 mfululizo, Imeelekezwa usomwe hadi ngazi ya Vigango na Jumuiya.

Lengo la jambo hili muhimu ni kuhakikisha kwamba hata yule mkatoliki mgumu kabisa basi aeleweshwe hadi ubongo wake ufunguke, na kuona ubovu wa Mkataba huu wa Bandari.

KRISTU TUMAINI LETU
 
Mkataba ulishapitishwa, sidhani kama kutakuwa na mabadiliko yoyote. Ila kiukweli wananchi wamekataa

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Vijijini waraka unatafsiriwa Kwa native languages Ile ueleweke zaidi!!
 
Back
Top Bottom