Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Makanisa misikiti yote ni tools of control wapo ki maslahi zaidi
 
Unamengi ya kujifunza mzee kwahiyo wewe unaona ni sawa la isa mkataba upite ..........
 
Wale waliodhani kwamba habari za Waraka wa TEC zimemalizika, baada ya juzi kusomwa makanisani, Wajipange upya.

Taarifa kutoka ndani ya Kanisa Katoliki zinaeleza kwamba, imeagizwa Waraka huo urudiwe kusomwa kwa wiki 6 mfululizo, Imeelekezwa usomwe hadi ngazi ya Vigango na Jumuiya.

Lengo la jambo hili muhimu ni kuhakikisha kwamba hata yule mkatoliki mgumu kabisa basi aeleweshwe hadi ubongo wake ufunguke, na kuona ubovu wa Mkataba huu wa Bandari.

KRISTU TUMAINI LETU
 
Mkataba ulishapitishwa, sidhani kama kutakuwa na mabadiliko yoyote. Ila kiukweli wananchi wamekataa

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Vijijini waraka unatafsiriwa Kwa native languages Ile ueleweke zaidi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…