Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Nahofia kuchangia lkn wacha nichangie kidogo÷
>Ni kweli kwamba kutoka malipo ya mamia kwa matrilioni kwa mujibu tra imekuwa mamia kwa mabilioni?Kwanini kutoka trilioni hadi bilioni?
>Uhai wa shughuli za uchimbaji kuanzia sasa hadi kufunga shughuli hizo itachukua muda gani?Ikiwekwa kwenye mizania ni kipindi kipi kirefu kati ya muda tulioibiwa au tunakoelekea(win won situation)?
>Uzalendo kwa taifa ni upi kupaza sauti ili jambo la kufisadi lisitokee au kuwapinga wale wanaosema mfumo ulikosea kuingia mikataba iliyoitia hasara nchi?
>Ni kweli kwamba hao Acacia wamekubali hayo matakwa yetu kwa ajili ya dhahabu iliyoko ardhini kwetu au wamekubali kwa ajili ya kulinda hisa zao pale soko la hisa London na kutochafua jina la kampuni machoni mwa dunia wakati wakichukua plan b kwa ajili ya biashara zao?
 
mbona husemi wamekataa kulipa trilioni 425!!
nitajie hizo dola milioni 300 ni za nini?
halafu 50/50 ya profit huelewi kitakachotokea,...watakuwa wanareport loss na utasubiri sana kupata hiyo nusu ya faida yao...tumepigwa hapo na wazungu
 
mbona husemi wamekataa kulipa trilioni 425!!
nitajie hizo dola milioni 300 ni za nini?
halafu 50/50 ya profit huelewi kitakachotokea,...watakuwa wanareport loss na utasubiri sana kupata hiyo nusu ya faida yao...tumepigwa hapo na wazungu
taarifa nzima hamna waliposema wamekataa kulipa
 
Huyu mtu anayejiita Yakubu aende fb. Kule hauhitaji akili kuchangia. Ni kujua a e i o u tu, bas!
 

Watz nafkiri wengi wana mtindio wa ubongo......!!!!
Kwaninii watu wanadanganyika kirahisi kama watoto wadogo......???
Leo Magufuli analazimmisha watu waamini Wasaliti wa Biashara na Mikataba ya madini ni kina Lissu kwa vile yeye anaona wapinzani ni maadui...!!!
Ripoti zote za makinikia,Dhahabu, Tanzanite na Almasii zimetaja Mawaziri na Vigogo wote kutoka CCM na Seriikali yake. ndio waliokuwa wanaliibiia taifa kwa mikataba ya kihuni.....!
Kama Magufuli ni mpenda haki kwaniini hajawakamata hao wana CCM au kuamua kuwamiminia risasi 38 kila mmoja kama Lissu...???!!!
 
Meli ya samaki
 
Napenda kutoa pole kwa lissu na kumtakia maisha mema na augue pole.

Nampenda lissu hasa katika hali yake ya uimara wa kukosoa na kutoa tips za ushauri ingawa kuna muda hutoa ushauri usio sahihi au ushauri katika muda ambao sio muafaka au katika njia zisizo sahihi.

Napenda kusema kuwa maoni ya lissu katika sakata hili la makanikia ambalo limeishia pazuri yalikuwa na sifa nyingi ikiwemo kuonya,kupotosha,kutisha ,kurekebisha na kujitafutia umaarufu.

Kwa upande mmoja yalikuwa na uzuri wake lakini kwa upande mwingine yalikuwa ni nusunusu,yanapotosha,yanatisha,hayana staha,yenye kurudisha nyuma,ya kizamani sana,yenye hofu,ya rushwa na sifa nyingi nyingine ambazo kama Serikali ,jamii na watanzania wangeyakubali tusingefikia hapa tulipo leo.

Siko hapa kumlaumu sana mgonjwa Tundu lissu pengine msimamo wangu huu unachangiwa na maumivu anayoyapata toka apigwe risasi na sasa akiendelea kupambania maisha yake.

Nilizoea kupambana na lissu kwa hoja ...yaani pindi alipoitisha conference ya kupotosha umma ..nilikuja na thread katika jamvi hili muhimu kupingana naye...na nitaendelea kufanya hivyo.

leo hii mimi na wananchi wengi wa Tanzania wana furaha kubwa moyoni ya kuweza kupambana na unyonyaji katika hali zake zote.

Leo hii watanzania wote wanasimama wima wakimpongeza kiongozi wao Dr.John Pombe Magufuli kwa kuthubutu na kufanikiwa kuanzisha mapambano mapya dhidi ya mafisadi nchini na wawekezaji wanaotuibia.

Kwa mafanikio tuliyofikia leo hatuna budi kuipongeza Serikali na vyombo vyake vyote,wananchi wazalendo na wanaJF makini ambao walisimama kidete katika suala la madini na makanikia iwe miaka hii au zamani.

Pia hatuna budi kuwapongeza walioipinga approach ya Serikali katika swala hili huku wakiwa na nia njema ya kuhakikisha Tanzania inafaidika .

Sioni aibu kumponda yoyote yule aliyeinanga Serikali katika mchakato huu kwa nia ya kuiharibia Serikali ili tu ajijenge kisiasa.Huyu anastahili adhabu kali sana ya USALITI VITANI!anafaa kuhukumiwa vilivyo kabla,wakati au baada ya mchakato huu,awe ametokea kokote!!

Tundu lissu alitoa maoni yake katika mchakato huu iwe informal au formal no one knows.

For the records:Tundu lissu alikosea katika njia ya kutoa maoni yake katika mchakato huu!Alikosea pengine nyuma yake akiwa na dhamira njema.
Anaweza kuwa alikuwa na point muhimu lakini timing na approach yake ilikuwa mbovu na ya kupotosha au kuturudisha nyuma kwenye uwanja wa mapambano.

Leo hii tumefikia pazuri sana na atakayepinga atapinga bila facts.

Cha kujifunza kama watanzania ni kimoja tu...ni lazima tuwe na umoja vitani!

Maoni na approach yetu katika vita ni lazina yalenge kulifanya Taifa lishinde na sio ushindi wa kibinafsi au ushindi wa adui yetu hata kama adui anatusaidia kimaslahi.

Tundu lissu alitualert kuhusu uwezekano wa kushtakiwa MIGA lakini siamini kuwa aliwasilisha caution na way foward kwa Rais juu ya mapambano haya (hilo ni kosa na anapaswa kulijutia).

Tundu lissu alitutisha sana! ajirekebishe kwa kuendelea kutuelimisha na sasa apeleke maoni ya kizalendo kwa mamlaka husika kwa manufaa ya Taifa by any means necessary and at all costs.

Pamoja na yote sasa ni muda muafaka wa watanzania kuwa wamoja sana katika lengo la kupambana na wasio watanzania.Tufarakane katika kupambania umoja wetu dhidi ya wanaotuharibia!Tusipambane na Serikali kisiasa kw minajili ya vyama au maslahi yetu.
 
Hivi si tuliambiwa tunalipwa zaidi ya tirioni 300, Sasa zimeshukaje had I bilioni 700,hali hiyo ni pesa inakusanywa ndani ya mwenzi mmoja? Na huo ni ushindi au kushidwa kwa Tanzania??
 
At a news conference in Tanzania, Reuters reported Barrick chairman John Thornton said the deal would need to be approved by independent shareholders and directors of Acacia Mining.
 
Nchi yetu ina tatizo kubwa sana la uelewa
 

Ndo maaana mlitaka kumpoteza
 
50/50 si lolote si chochote kwenye kampuni ambayo iko listed as public company.
Jambo la kwanza linalozingatiwa ni kugawa dividends kwa wana hisa...kwa Acacia wapo wengi ...wadogo wadogo na wakubwa
Baada ya kugawana dividend inabaki amount ambayo inakatwa kodi na then itayo baki ndiohio 50/50
Na hapa pia tutarajie loss , yaani hasara hivo sijui fomula tutagawana hasara ama vipo.
Tusubiri Acacia watoe statement yao
 
JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA.

Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.

Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.

Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.

Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.

Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.

Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.

Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.

Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.

Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.

Ulikera sana hapa :

Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.

Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".

Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.

Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.

Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.

Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.

Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
 
Hizo pesa wametoa cash??Kwanini hawajaahidi yale mabilioni mliyoyasema mbwa wewe
 
We huna akili. Ulitaka aseme kwamba wameshinwa? Jibu hoja hapo juu kuwa je tumenyolewa kama lisu alivyodai? Bora lilipochapwa lisasi tu mana halina maana zaidi ya kuwa kibaraka wa wazungu
 
Tumeshapata pesa ya uchaguzi 2020, lazima tushinde. CCM mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…