Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Jamaa amenena maneno magumu sana kueleweka kwa baadhi ya watu. Unatakiwa uyasome na uyatafakari ndipo utamuelewa. Hasemi mtu ila anatoa hadhari na kuuhabarisha umma
Ngoja uchaguzi ufike na kampeni zianze mtaona magu anavyo kibalika na watu 95% ya kura za uraisi ni zamagufuli
 
Mimi niliona walijenga Iptl na escrow tu na kufanikisha mladi wa kupandisha twiga ndege
 
Aendelew kuleta kiburi na atasota sana mtaani apende au asipende....
 
Ngoja uchaguzi ufike na kampeni zianze mtaona magu anavyo kibalika na watu 95% ya kura za uraisi ni zamagufuli
Ukiangalia ulichoandika kina akisi ufikirio wako ulivyo.
 
Tusubiri 2025..ila 2020 maguful is the president
 
Ninawasikitikia washauri wanafiki na waoga wanaokaa kimya au kumshauri vibaya Rais wetu. I'm in love na hii sentensi walahi vile 👏👏👏👏👏
 
Chanzo cha haya yote ni njaa na tamaa ya madaraka yaani huyu maembe anatamani aachiwe nchi hata Leo,
Ana uso umemjaa tamaa na hao wanaomtuma ndio waliomtoa chambo mwenzao February, Inshort Ben anawajua vizuri ndani ya ccm kuwa nnani chui, simba na fisi ni yupi,wao sio wajinga wamtose Edo aliekuwa na nguvu kiasi kile, Maembe please keep your mouth SHUTUP
 
son of the beach
 
Naona watu wanajitekenya, halafu wana cheka wenyewe. mnayo mzungumzia hatoi kauli zake kwenye official platform bali anajificha kwenye mitandao ya kijamii ambayo mingine ni vigumu kuthibitisha kama kauli hiyo imetoka kwake zaidi ya picha yake kuwekwa au jina lake.
Hivyo inaweza kuwa ni kauli za "wapiga polishi au za wachoma mishikaki" ambao wamebanwa kwenye milango mithili ya mijusi hivyo wanatupa kila kitu kitu kilicho mbele yao ili kujinasua,
 
Membe! Ninaposikia kauli za Membe huwa siamini kama ni huyu huyu Membe. Interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…