Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Mimi niko safi sina makuu nafurahia magu anavyo wapima mikojo tu .mguu upande mguu sawa kegeza tako .kweli magu kiboko lazima tumpe miaka 25 yHali yako kimaisha ikoje mkuu
Madarakani
Mimi niko safi sina makuu nafurahia magu anavyo wapima mikojo tu .mguu upande mguu sawa kegeza tako .kweli magu kiboko lazima tumpe miaka 25 yHali yako kimaisha ikoje mkuu
Kwenu zilikuwa za serikali? Unawezaje kudai kitu amabcho hakikuwa cha kwako tokea mwanzo! Acheni ujingaPesa za libya zirudishwe serkalini zijenge reli
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Mkuu unauhakika au nawe umekuwa 'dodoki'Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Na mhutu ni nani vile?Membe ni Msumbiji
Mwamakula ni Mmalawi
Mbona Jiwe anachukia wenzake,tuseme nae ni Fisadi ?Kama siyo fisadi kwanini anamchukia magufuli siange shikamana naye Leo wauza ngada na mafisadi ndiyo wanamaumivu na magufuli
True true membe mafisadi ndiyo wanao msifuMembe ni mtu wa kutapatapa tu. Hata facial appearance haioneshi kuwa ni mtu mwenye akili ya kutumainiwa. Alihangaika na Lowasa akasahau kuna wengine wanaomzidi. Amekosa ubunge, amekosa urais, leo anajidai ana super ideas.
Askofu anaabudu kondoo !
Wewe kwa akili yako CCM wameanza kula enzi za Membe?[emoji1787]Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
C&P......ujumbe alioujibu bernard membe ni huu hapa.
UJUMBE MAHSUSI KWA MHESHIMIWA BERNARD MEMBE.
Mheshimiwa Bernard Membe!
Pokea salaam za upendo kutoka kwangu mimi niliye mdogo sana miongoni mwa Maaskofu wa Kanisa la Mungu hapa duniani nisimamaye katika zamu yangu sasa! Nimekuwa nikifuatilia kwa makini na kusikia mengi juu yako katika siku za hivi karibuni. Ninatambua kuwa wewe ni mwanasiasa na siasa ni uwanja wa hoja.
Hata hivyo, kwa mazingira yalivyo tumeshuhudia kauli nyingi kukuzunguka wewe ambazo wakati mwingine zinatia hofu na mashaka. Kauli zinazoashiria kuwa siasa za Tanzania zimeanza kuonyesha dalili za watu kuanza kukosa kuvumiliana hasa pale watu wengine wanapoonyesha muono tofauti wa mambo.
Ninapenda nikuhakikishie kuwa pamoja na ukimya wao, Maaskofu walio wengi katika Nchi hii wanafuatilia kwa karibu sana mambo yanayohusu nchi hii ambayo Mungu amewaweka kuwa watumishi na mawakili wa siri zake. Pengine utatiwa moyo kusikia kuwa mimi pamoja na Maaskofu, Wachungaji, na watu wengine wengi usiowajua tunakuombea na kulitaja jina lako mbele za Mungu wetu.
Tunapenda ifahamike kuwa kukuombea kwetu hakutufanyi sisi kuwa lazima tukubaliane na muono wako wa mambo kuhusiana na siasa za Nchi hii, la hasha! Bali tunakuombea kutokana na ukweli kuwa kwa mazingira yaliyopo sasa baadhi yetu tunahisi kuwa unaweza kujikuta unaishi katika maisha ya hofu na wasiwasi mkubwa.
Tunamuomba Mungu ili akupe utulivu moyoni na pia akupe ulinzi dhidi ya watu ambao wanaweza kutaka kukudhuru kutokana na wao kutokupenda misimamo na mitazamo yako. Kwa kuwa na washindani wako na wao pia watausoma ujumbe huu, tunawasihi sana wasije wakaingia katika mtego wa kugusa uhai wako. Lakini pia, na wewe uepuke kuingia katika mtego wa kutaka kuwadhuru washindani wako. Mungu wetu atahusika na mtu ye yote anayejipanga kumwaga damu ya mtu mwingine iwe yeye mwenyewe au kuwatumia watu wengine.
Tunapenda wanasiasa wote wafahamu kuwa Mungu anapotoa kibali kwa mtu, kibari hicho hakiwezi kuondolewa na mtu au mamlaka ye yote ya kidunia. Kupambana na mtu aliyepata kibali kwa Mungu ni sawa na kupambana na Mungu mwenyewe. Tunapenda ifahamike kuwa kama wapo watu ambao Mungu amewapa kibali, wewe ukipambana nao utakuwa unajisumbua bure. Lakini pia, kama wewe utakuwa umepata kibali kutoka kwa Mungu, basi wale watakaoinuka kupambana na wewe na wao watakuwa wanafukuza upepo!
Tunakemea mambo yote ya kutishana na kunyamazishana na hata kutaka kupotezana miongoni mwa wanasiasa iwe ni katika Vyama vya Upinzani au ndani ya Chama Tawala. Kiongozi ye yote atakayeasisi au kushiriki katika vikao au mikakati ya kutaka kumuua mtu mwingine kwa sababu za kisiasa na mambo mengine nje ya mfumo na mchakato wa ki-Mahakama atakuwa anajitoa mwenyewe katika kibari cha Mungu kwa kuwa damu ya mtu haiwezi kumwagika bure pasipo kupiga kelele!
Ninaomba ukipata nafasi uweze kutafakari kwa kina Zaburi 35.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
Membe ni Kati ya watu wenye uwezo mkubwa sana wa Akili na Uongozi.
Ni kwa sababu tu hapa nchini hatuna utaratibu wa kuwafanyia midahalo Viongozi wetu wanaogombea cheo cha Urais
Kama tungefanya midahalo ya wagombea ni wagombea wachache sana wangeweza kufikia kiwango cha Membe cha kujieleza.
Membe ni Genius, huwezi simama nae kwenye mdahalo na ukamshinda kirahisi.
Jambo jingine, Membe Yuko humble, hana makuu na anawajari watu sana.
Cheo cha Uraisi ni kama bahati vile, ila Membe ana hadhi ya kuwa Raisi wa Tanzania.
Namna moja ya kumpima mtu mwenye IQ kubwa ni kumsikia anavyo weza kujieleza na kuyaelezea maswala mbali mbali.
Ndio maana nchi zilizoendelea Kama Marekani wagombea Uraisi hupitia midaharo mingi.
Hapa nasema ukweli mtu Kama Lowasa uwezo wa kujieleza ni Zero. Na angebahatika kupata Urais mambo mengi yangefanywa naw engine
Nchi hii kutoka na taratibu mbovu zinazofatwa ili kumpata Raisi wa nchi iko siku tutampata Raisi Zero Brain, au MWENDAWAZIMU.
La tuanze kuwafanyia midahalo wagombea wetu ili tujiridhishe na utimamu wao.
Na january nae jana kaleta story ya paka huwa hamueshimu mwenye nyumba kwa kuwa anauwezo wa kujitafutia chakula tofauti na mbwa always huwa anakua loyal kwa owner haha ha ha ha ha cheki kwenye page yake ya instagramUku JK uku membe..kutamu uku kwetu
Na majizi waliouza nyumba za serikali wazirudishe pia tujenge reli!Pesa za libya zirudishwe serkalini zijenge reli
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
unamzidi nini membe wewe na familia yako?Membe ni mtu wa kutapatapa tu. Hata facial appearance haioneshi kuwa ni mtu mwenye akili ya kutumainiwa. Alihangaika na Lowasa akasahau kuna wengine wanaomzidi. Amekosa ubunge, amekosa urais, leo anajidai ana super ideas.