Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
"Nikuhakikishie hakuna hata chembe ya ukweli kuhusu yote hayo na ndiyo maana huoni na hutaona hatua za kisheria zikichukuliwa dhidi yangu. Labda wanichukulie hatua zingine! Nimepata vitisho mbalimbali kutoka kwenye Chama changu, makundi mbalimbali ya wachawi na Serikali vya kunifukuza, kuniloga, kunitupa Gerezani kana kwamba mimi ni mhalifu. Baba Askofu, kwa kuwa moyo wangu ni safi, na kwa kuwa sijatenda kosa lolote, SITISHIKI , SITAKAA KIMYA na KAMWE SITAABUDU MTU WALA MIUNGU WENGINE."
 
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
"Nikuhakikishie hakuna hata chembe ya ukweli kuhusu yote hayo na ndiyo maana huoni na hutaona hatua za kisheria zikichukuliwa dhidi yangu. Labda wanichukulie hatua zingine! Nimepata vitisho mbalimbali kutoka kwenye Chama changu, makundi mbalimbali ya wachawi na Serikali vya kunifukuza, kuniloga, kunitupa Gerezani kana kwamba mimi ni mhalifu. Baba Askofu, kwa kuwa moyo wangu ni safi, na kwa kuwa sijatenda kosa lolote, SITISHIKI , SITAKAA KIMYA na KAMWE SITAABUDU MTU WALA MIUNGU WENGINE."
 
Sasa Membe kashambulia kushoto, JK kapiga kulia na suala la kujimwambafai.
Hakika jumbe zote ukiziangalia anatandikwa bingwa wa "kujimwambafai" na mpaka kufikia July 2020 atakuwa kachakaa kama bondia mchovu aliyekutanishwa na Tyson
Na hapo Jk na Membe wataisaidia chadema kwenda ikulu asubuhi na mapema!

Mlivyo wajinga wenzenu sasa hivi wako site kuhakikisha wanashinda kwenye uchaguzi wa selikali za mtaa ambao ndio hutoa mwongozo wa uchaguzi mkuu, nyie mko hapa kumshabikia Membe ambae ni ccm!

Hivi huko chadema na upinzani hakuna kabisa watu wenye akili na mikakati ya kuendana na ngoma wanazopiga ccm?
 
Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
endelea kukaa ukijidanganya kuwa huyu aliyepo sasa hali hadi kutapika km waliopita,,hakuna fala saivi mangi,,hakuna anaetaka kutoka madarakani na kuishia kuishi kimaskini km nyerere wakati wenzake wa kabla yake wanaishi km wapo peponi na uzee wao,,hapa unafumbwa macho na kudanganyishwa kwa maneno matamu kuwa hawachukui kitu,subiri sasa wang'atuke ndo utajua walivyojilimbikizia mali na utajua pia uozo wao walipokua madarakani,saivi huwezi kujua kitu maana wanaogopwa km ukoma na hakuna mwenye uwezo wa kusema baya lao,,hivyo wanaonekana ni malaika na miungu watu ila subiri watoke madarakani ndo utatambua kuwa walikula vzr sana,,tena kula yao wanakula ktk miradi hii mikubwa mnayowapongeza km SGR,stieglers,air tz,nk,hawali mahali pengine,wanakula humo kwenye miradi ya mamilioni ya dola za kimarekani,,,,tuombe umri uwepo,na tuombe wakubali kutoka madarakani kwa wakati then utakuja kunambia
 
Hapa namuona Membe kama mtu fulani ambaye anakaribia kupata uchizi.Kama huogopi mbona unalialia kupitia kwa Askofu ?

Mtu ambaye haogopi huwa hasemi mimi siogopi,matendo yake yanaongea.Wewe ni mwoga sana na ndiyo maana unaanza kutaja makosa yakoU liyoyafanya mwenyewe bila kuulizwa.

JAMANI MAGUFULI ANATISHA.
Anatisha, amekuwa chatu?
 
Awamu zote nne zilizopita hazijafanya chochote kabisa

Tumwombe mungu amshukuru Rais Magufuli kwa anayoyafanya
zisingefanya kitu hii nchi ingekua ya wzungu tena saivi,walifanya kwa kiwango chao walichojaaliwa na Mungu na km ni kula walikula pia,na hata sasa watawala wanafanya kwa kiwango wanachojaaliwa na Mungu na kula pia wanakula vizuri tu,ila huwezi ckia mtu anasema kuwa wamekula hadi watakapotoka madarakani ndio utasikia madudu yao.km wewe ni mfanyabiashara mzuri utakua unaona jinsi biashara yako inavyokua mwaka hadi mwaka,na maendeleo uliokuwa nayo miaka mitano nyuma ni tofauti kbs na maendeleo ulonayo sasa,yawezekana miaka mitano nyuma ulikua na uwezo wa kununua bodaboda tu na huna zaidi ya hapo lkn sasa biashara imeenda poa na unaweza kununua TOYOTA VX-V8,ina maana biashara yako imekuwa kiasi cha kuweza kumiliki v8,na kwa upande wa serikali ndio hivyo hivyo,bajeti ya serikali kwa kikwete mwaka 2010 sio sawa na bajeti ya serikali ya kikwete huyo huyo kwa mwaka 2015,kwa nini?...ni kwa sababu mwaka 2005 mapato ya serikali yamekuwa makubwa zaidi kuliko mwaka 2000,huwezi kuelewa hili km huna upeo mpana wa kufikiri,vivyo hivyo kwa Magu////bajeti yake ya serikali ya mwaka 2016 kamwe haiwezi kuwa sawa na bajeti ya 2020...kwa nini??....ni sababu mapato ya serikali yameongezeka.ukiangalia bajeti ya 2019/2020 ni sh trilioni 33,usije kulazimisha ni kwa nini serikali ya kikwete ilikua na bajeti ya sh 20 trilioni kwa mwaka 2014/2015
 
Membe ni wa kupigwa vita mahali kokote anapopatikana kwa sababu ni dhahiri kwa matamshi yake ana nia ovu na serikali.Hivi jamani hata kama hutaki ,kubali tu kwamba rais kwa sasa ni Magufuli.Na kwa mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya uchaguzi ujao ni utalezi tu kwake.Wapinzani wenyewe kwa sasa wamenyooka,hata mwendawazimu Lissu naye mdomo umekatika.Nape kidomodomo kapiga magoti,Kinana hajulikani yupo wapi,Makamba mzee kajifungia huko kwake na mwanawe aliyesifiwa kuwa ni mjanja wa kila kitu yupo hoi.Sasa wewe Membe unakimbilia kwa maaskofu hawawakusaidii kitu hao zaidi ya kukuombea tu.Lakini hata ukiombewa vipi na askofu wako huyo mmoja Magufuli naye anaombewa na maaskofu wa kila aina ,mashekhe wakubwa na wadogo,wachungaji,waalimu na maimam .
Kwa mantiki hiyo Membe unashindana na nguvu ambayo huijui.Nakusihi uishie hapo usije ukachanganyikiwa kwani mtu ambaye aliyekuwa waziri mkubwa kama wewe tena' Foreign' uliyetembea nchi mbalimbali kutuwakilisha halafu leo unashitakia uchawi kwa askofu,unaonyesha kabisa jinsi ambavyo hukufaa hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji achilia mbali urais wa Tanzania. KUBALI MAGUFULI NDIYE RAIS .Nasikia wewe na baadhi ya wengine mnajitahidi kutafuta nafasi ya kumwona mhe. huko ikulu.It's too late.Mmeshaharibu.
 
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Aliemajukwaani kumbuka kivuko kakipeleka jeshini kigamboni hamna msafi ndio mana membe anajiamini na anakuambia "Gusa unate,Chafua nikuchafue" pia alikuwa waziri wa mambo ya nje siri ya kivuko anaijua yote
 
.Nakusihi uishie hapo usije ukachanganyikiwa kwani mtu ambaye aliyekuwa waziri mkubwa kama wewe tena' Foreign' uliyetembea nchi mbalimbali kutuwakilisha halafu leo unashitakia uchawi kwa askofu,
wewe ulitaka akastaki uchawi kwa magufuli??...
 
Membe ni wa kupigwa vita mahali kokote anapopatikana kwa sababu ni dhahiri kwa matamshi yake ana nia ovu na serikali
Mungu pekee ndio hapingwi maana hafanyi makosa lkn wengine wotw wanatenda makosa hata huyo magufuli wako
 
Hivi jamani hata kama hutaki ,kubali tu kwamba rais kwa sasa ni Magufuli.Na kwa mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya uchaguzi ujao ni utalezi tu kwake.Wapinzani wenyewe kwa sasa wamenyooka,hata mwendawazimu Lissu naye mdomo umekatika.Nape kidomodomo kapiga magoti,Kinana hajulikani yupo wapi,Makamba mzee kajifungia huko kwake na mwanawe aliyesifiwa kuwa ni mjanja wa kila kitu yupo hoi.Sasa wewe Membe unakimbilia kwa maaskofu hawawakusaidii kitu hao zaidi ya kukuombea tu.
usitulazimishe kumkubali mjinga mmoja,kweli uchaguzi ni utelezi sana kwa ubabe wake ila sio kwa haki.mamlaka yote anayo yy na anaamuru hadi mahakama na bunge,,unategemea nini kwa tume ya uchaguzi??....
 
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Wee leta io clip unayosema membe anataka kupindua nchi na hayo mabilioni ya gaddafi leta ushahidi vivid kua membe kahusika mnakaririshwa lumumba
 
Back
Top Bottom