Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Mgombea URAIS asingewe ndo Mwenyekiti wa hicho chama ! Na kwa wengine pia. Reform
 
Kwa mtindo wa utendaji wa utawala huu wa awamu ya tano, tusije shangaa "wakamzushia" huyo Askofu na Membe wake, kuwa wote siyo raia wa nchi hii!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanajimwambafaisha
 
SITISHIKI , SITAKAA KIMYA na KAMWE SITAABUDU MTU WALA MIUNGU WENGINE."

Mjadala umefungwa!
 
Membe ni Kati ya watu wenye uwezo mkubwa sana wa Akili na Uongozi.

Ni kwa sababu tu hapa nchini hatuna utaratibu wa kuwafanyia midahalo Viongozi wetu wanaogombea cheo cha Urais

Kama tungefanya midahalo ya wagombea ni wagombea wachache sana wangeweza kufikia kiwango cha Membe cha kujieleza.
Membe ni Genius, huwezi simama nae kwenye mdahalo na ukamshinda kirahisi.

Jambo jingine, Membe Yuko humble, hana makuu na anawajari watu sana.
Cheo cha Uraisi ni kama bahati vile, ila Membe ana hadhi ya kuwa Raisi wa Tanzania.

Namna moja ya kumpima mtu mwenye IQ kubwa ni kumsikia anavyo weza kujieleza na kuyaelezea maswala mbali mbali.
Ndio maana nchi zilizoendelea Kama Marekani wagombea Uraisi hupitia midaharo mingi.

Hapa nasema ukweli mtu Kama Lowasa uwezo wa kujieleza ni Zero. Na angebahatika kupata Urais mambo mengi yangefanywa naw engine
Nchi hii kutoka na taratibu mbovu zinazofatwa ili kumpata Raisi wa nchi iko siku tutampata Raisi Zero Brain, au MWENDAWAZIMU.

La tuanze kuwafanyia midahalo wagombea wetu ili tujiridhishe na utimamu wao.
 
Mnamtaka na nani? Usitusemee kama ni kula hata magufuli amekula sana tu na anaendelea kula.hana jipya.
Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
 
Kwa upepo ulivyo Rais hakupaswa kupambana na yeyote Tz bali apambane na changamoto za wananchi as next term ni yake tena
 
Membe anatafuta huruma tu
Aache kujistukia atulie aone kama atashitakuwa au la
 
Kukosoa Ni Haki Ya Kila Mtu Ya Kikatiba.

Kuna Vijana Watakuja Chini Kumtukana Membe Kwa Sababu Hawaelewi Uhuru Wa Kutoa Maoni Maana Yake Nini"

Kumbe Tuna Serikali Ya Kichawi Ndio Maana Mambo Hayaendi?
Ni jambo gani.limekwama !?
 
Dah ningekuwa mwanaccm ningekuwa ni team membe.waraka kiboko sana huu kwa ccm na serikali ya awamu ya tano
Ufipa wameguswa, sasa wananuka ! Na hivi mpaka.sasa hawana mgombea urais.....!
 
Hapa namuona Membe kama mtu fulani ambaye anakaribia kupata uchizi.Kama huogopi mbona unalialia kupitia kwa Askofu ?

Mtu ambaye haogopi huwa hasemi mimi siogopi,matendo yake yanaongea.Wewe ni mwoga sana na ndiyo maana unaanza kutaja makosa yakoU liyoyafanya mwenyewe bila kuulizwa.

JAMANI MAGUFULI ANATISHA.
 
Kwa nini msimshughurikie kisheria? Amesema kuwa hakuna chembe yoyote ya ukweli na ni wachawi.
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
 
Back
Top Bottom