Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Sisi tuliotapikiwa siyo wewe uliye tutapikiaSisi au wewe?
Sisi tuliotapikiwa siyo wewe uliye tutapikiaSisi au wewe?
Uliishawahi kumwona mwenye nguvu anapiga kelele? Hiyo kazi ya waoga!Unajifanya
Kujimwambafai
Sio
Je! Ataweza?? Usimchezee aliyeushika mpini kaka.KAMWE SITAABUDU MTU WALA MIUNGU WENGINE.
***akimaanisha kamwe hataenda jumba jeupe kupiga magoti kuomba msamaha**
Pesa za libya zirudishwe serkalini zijenge reli
Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Achana na Ego za kimakonde wewe,Membe anatapa tapa tuKeshasema hatamwabudu kiumbe yeyote zaidi ya Mungu. Huyo babako anaependa kuombwa msamaha na kusujudiwa asahau hilo kwa BM
Membe ni Kati ya watu wenye uwezo mkubwa sana wa Akili na Uongozi.
Ni kwa sababu tu hapa nchini hatuna utaratibu wa kuwafanyia midahalo Viongozi wetu wanaogombea cheo cha Urais
Kama tungefanya midahalo ya wagombea ni wagombea wachache sana wangeweza kufikia kiwango cha Membe cha kujieleza.
Membe ni Genius, huwezi simama nae kwenye mdahalo na ukamshinda kirahisi.
Jambo jingine, Membe Yuko humble, hana makuu na anawajari watu sana.
Cheo cha Uraisi ni kama bahati vile, ila Membe ana hadhi ya kuwa Raisi wa Tanzania.
Namna moja ya kumpima mtu mwenye IQ kubwa ni kumsikia anavyo weza kujieleza na kuyaelezea maswala mbali mbali.
Ndio maana nchi zilizoendelea Kama Marekani wagombea Uraisi hupitia midaharo mingi.
Hapa nasema ukweli mtu Kama Lowasa uwezo wa kujieleza ni Zero. Na angebahatika kupata Urais mambo mengi yangefanywa naw engine
Nchi hii kutoka na taratibu mbovu zinazofatwa ili kumpata Raisi wa nchi iko siku tutampata Raisi Zero Brain, au MWENDAWAZIMU.
La tuanze kuwafanyia midahalo wagombea wetu ili tujiridhishe na utimamu wao.
Ingekua Uamsho wa kiislamu wangekua ndani sasa hiviUamsho
Kwa kuandika ujumbe kama huu unasupoti hayo uliyoandika au unapinga? Au ndiyo Mystery!!!Kwa mtindo wa utendaji wa utawala huu wa awamu ya tano, tusije shangaa "wakamzushia" huyo Askofu na Membe wake, kuwa wote siyo raia wa nchi hii!
Hako ka membe mbona kadogo tu hata tako katatoa mbele ya mabaharia tulio nyuma ya jpmKama Membe ni fisadi Mbona mungufuli wenu hamgusi Membe? Mguseni anuke.
Utamaduni wa miaka kumi sisi tulionyuma ya magufuli atuutaki magufuli tutampa 20y or 25y2020 natamani sana Membe achukue fomu ili utamaduni wa miaka 10 ufe maana tushajionea hauna tija kwa Taifa.
Ndo umejitahidi kijenga hoja hadi mwisho wa uwezo wako.
Kazi kweli kweli