Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Hizi sifa zooote sidhani kama leo utampatia tena!
 
Ulikuwa sahihi, membe alichukua form akairudisha, akateuliwa, ila katikati ya kampeni kakimbia
2020 natamani sana Membe achukue fomu ili utamaduni wa miaka 10 ufe maana tushajionea hauna tija kwa Taifa.
 
Mtu wa misimamo sana, huenda wamemmaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…