Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Chill tuachane na hizi story za huyu mbuzi kagoma vipi kuhusu ladha ya ugali wa mhogo a.k.a udaga nimeumis sana nihadithie at least nitakuwa kama nimekula

Dah, na ukiumiss kwa muda mrefu inakua balaa, unaeza hata kung'ata kidole. Halafu patia picha na bonge la sato na mnavu. Usipimie. Mtu unatamani hata siku isiishe.
 
C.T.U ulikuwa mbuzi wa kafara......ha ha ha ....nawajua watu hao...ila hawana madhara...

Sayansi yako imeshawajua eeh basi hebu wataje basi kuoneasha siku ile hukuw unapiga mkwara... hebu waumbue hapa..
 
Sayansi yako imeshawajua eeh basi hebu wataje basi kuoneasha siku ile hukuw unapiga mkwara... hebu waumbue hapa..

Si ulijirudi...hlo la mzungu mdali na maryhunbig uwepo wake ni kama satelite...
 
nakuona MR REJAO,SMILE kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......mkiutafakarri waraka au walaka
 
Kama unatoa ya rohoni C.T.U wataje kabisa mkuu kama ni Arushaone wala usinionee aibu kunitaja. Unaposita kutaja IDs zao unawapa nafasi ya kufanya hivyo kwa mwingine! Please, please wataje LIWALO NA LIWE.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…