haya ndugu . . .wakati mwema ngoja mie nitoweke taratibu!Ngoja nione upepo unavyoenda..
Watu naona wanaongea kwa hasira mpaka ushuz.... wawatoka
Chilli maisha yenyewe haya mafupi ya nini kutoka povu humu, huku hatujuani wala hatujawai onana.. Nipo nipo hapa nachapa juice ya sugarcane then niende massai leo yupo dj mafuvu ndani ya dj pro 24
Sasa dogo njoo USHUGHULIKIWE supu basi na juice ya miwa....
Acha hasira ...
Na tuone kama nitataka ardhi ipasuke...

Mpaka aazime gari la baba huyo atafika ni leo...
Hahahahaha
Tembelea humu utaona unaohusu harusi yangu dogo, na wana CC walikuja kibao. Nalea dogo, sifugwi kama wewe.
By the way sina muda wa kubishana na mtu wa type yako, you are not of my type.

Usihofu noahism, tukutane hapo JKIA kesho. Ntajitahidi nikubebee